Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Safi sana una akili weye!! eti sasa waende wapi na wanyama wao?? ambapo hakuna wanyama pori!! hawa waandishi nao bana bure kabisa!! hao ng'ombe mbuzi wa wamasai!! nao ni wanyama wabadilishwe iwe sehemu ya hifadhi!!Wao wanasema wamefika, na wanapigana wasiondoke,hata sie watanzania wenzako tuko nao bega KWa bega ,Kitenge anawashwawashwa nini?masai tribe SIO watu wa anasa hata walioko mjini huwezi jua wanalalaga wapi,na ndo maana kabila hili limebaki kuwa la kipekee
Waachwe nao ni watanzania, tunazo hifadhi ngapi tz? Lakini pia mbona wemeshiriki kutunza wanyama
Ngorongoro iwe aridhi ya wanasai period, na mbunga wakabidhiwe moja KWa moja
Tukitoka Loliondo twende kwa wahadzabeTukimaliza Ngorongoro tutahamia Loliondo....
Yale yale ya kudhoofisha JNHPP kwa kigezo cha kelele za mazingira😂 eti mradi huu unaharibu mazingira😂Acheni siasa za kipuuzi, za kufifisha UTU wa mwanadamu kwa tamaa zenu za pesa.
Ni wajinga wachache sana wasiojua nini kinafanyika nyuma ya the so called 'uharibifu wa mazingira' unaoripotiwa na huyo Kibaraka Maulid!
Sent using Jamii Forums mobile app
Uongo mtupuSifa ya Ngorongoro ni mchanganyiko wa wanyama na binadamu hiyo ndio brand yake.
Sasa kama wanataka kuiua branda wawaondoe wamasai ili ngoro ngoro iwe mbuga sawa na nyingine.
The good things would have been to put the proper ways of how to conserve the area and not to permanently barn Maasai population in the area.
wamasai na ngorongoro nisawa na Nile river and Egyptians"Ndugu zetu wamasai wanaoishi humu wanahitaji kusaidiwa"- Kitenge