Ngorongoro hali mbaya: Maulid Kitenge ataka hatua za dharura zichukuliwe kuwanusuru Wamasai

Very true,

Serikali itende haki kuwahamisha wamasai na itende haki kuokoa uhifadhi
 
Hivi lini mmesikia wamasi wanasema Wana Hali mbaya, Kama kweli Wana Hali mbaya why hawataki kuondoka,

Ni mafisadi yanayotaka jimilikisha mbuga Ili kufanya ujangili , ndo wanakuja na propaganda mfu pitia KWa wamasai ,Ili wakatekeleze ushetan wao
Hawa wapuuzi wamepewa rushwa huko wakaanzisha kampeni yao feki
 
Wanataka kuiuza na ngorongoro kama Loliondo? Mbona propaganda za kuwaondoa wamasai zimepamba moto? Naona wanashindwa kufanya ujangili na wamasai wakiwepo wameona waje na propaganda nyepesi. Bahati mbaya project imeshafeli mapema Sana wabuni nyingine.
 
Watu wanalipa zaidi ya $20000 kufanya uwindaji Ngorongoro. Tunahitaji hiyo pesa. Wamasaai watafutiwe sehemu nyingine waishi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…