Serengeti walikuwepo wakurya na waikoma wote hao waliondoshwa na wakakubali bila sinema kama hizi.Kwani mbuga ni hiyo moja tu? Wahamishiwe Serengeti
Hatuna budi kudhibiti uongezekaji wa idadi ya binadamu na viumbe wengine wafugwao na wasiofugwa ndani ya eneo la Mamlaka-Unique Eco System for Ngorongoro as a World Heritage Site.Sifa ya Ngorongoro ni mchanganyiko wa wanyama na binadamu hiyo ndio brand yake.
Sasa kama wanataka kuiua branda wawaondoe wamasai ili ngoro ngoro iwe mbuga sawa na nyingine.
The good things would have been to put the proper ways of how to conserve the area and not to permanently barn Maasai population in the area.
Wahuni sio watu wazuri ,wenda wamasai ndo kikwazo kwaoMkuu.....
Hii hoja naielewa. Hapa watu tunaweza kuingizwa mkenge kumbe Wahuni wanataka kumalizia tembo waliobaki
Very trueYou have to weigh the concequences,there shall never be Ngorongoro without Maasais' there.
Wamasai nao ni lm wanyama tu waishi humohumo pamoja na wenzao simba na chui.Binaadamu wana hali mbaya sana kuliko wanyama....wanaotakiwa Kuokolewa sasa ni wamasai si wanyama
Jenga Hoja
Mbona Loliondo kwa Mwarabu huzungumzii umekomaa na Ngorongoro?
Tuna mbuga ngapi? acheni wamasai wachungie humo?Serengeti walikuwepo wakulya na waikoma wote hao waliondoshwa na wakakubali bila sinema kama hizi.
Hawa wamasai and his company wana jivunia kuwepo kwa social media kiwa free na dunia kuwa kijiji ila wale waliokuwa Serengeti hakukuwa na tweeter na jamii forum nk.
Kuna namna bora ya kuwafidia, ila no way Ngorongoro lazima ibaki.Hao wanyama wenu ni muhimu sn kuliko binadamu?
Wao wanasema wamefika, na wanapigana wasiondoke,hata sie watanzania wenzako tuko nao bega KWa bega ,Kitenge anawashwawashwa nini?masai tribe SIO watu wa anasa hata walioko mjini huwezi jua wanalalaga wapi,na ndo maana kabila hili limebaki kuwa la kipekee
Waachwe nao ni watanzania, tunazo hifadhi ngapi tz? Lakini pia mbona wemeshiriki kutunza wanyama,
Ngorongoro iwe aridhi ya wanasai period, na mbunga wakabidhiwe moja KWa moja
Pelekeni huko wanyama wenu wamasai wabaki, hatuoni hata hizo faida za wanyama wenuKuna namna bora ya kuwafidia, ila no way Ngorongoro lazima ibaki.
"Ndugu zetu wamasai wanaoishi humu wanahitaji kusaidiwa"- Kitenge
Inasikitisha saana, hawa jamaa kabla ya uhru walikuwa wanaishi na hao wanyama sasa leo wanaonekana ni kero anyway....i wish government ingekuwa inatumia takwimu na kuona ongeeko la watu kulinganisha na limited resources Nchi inamiliki.....Mamlaka ya ngorongoro ilivyoanzishwa hawa jamaa walikuwa elfu sita tu...leo wapo zaidi ya laki na ishirini anyway hili lilitakiwa lionekane siku nyingi,,,hawaruhusiwi kulima ndio umaskini ni mkubwa ila itumike njia ambazo ni sahihi mfano wanaweza anzishiwa wilaya yao na kuhudumiwa kwa mika kadhaa kabla hawajaanza jitegemea...na sio hizi ropaganda za akina kitenge
Kituo cha Wanahabari watetezi wa Rasilimali na taarifa (MECIRA) kimeitaka serikali kuchukua hatua madhubuti za haraka na dharura ili kunusuru maisha ya wananchi jamii ya kimasai wanaoishi katika tarafa ya Ngorongoro iliyopo ndani ya hifadhi ya Ngorongoro sambamba na kunusuru mazingira na uhifadhi wa eneo hilo unaoonekana kuathiriwa kutokana na muingiliano wa shughuli za kibinaadamu ikiwemo ufugaji uliopitiliza.
Makamu mwenyekiti wa kituo hicho mwanahabari mkongwe Maulid Kitenge ameyasema hayo kwa niaba MECIRA muda mfupi baada ya kamati tendaji ya taasisi hiyo kutembelea hifadhi hiyo kujionea utalii na maisha ya wananchi husika kuzingatia ukweli kuwa hifadhi ya Ngorongoro ndio hifadhi pekee nchini inayohusisha maisha ya binaadamu, mifugo na wanyama
Miongoni mwa mambo yaliyomsikitisha Kitenge ni jinsi wakazi wa maeneo hayo wanavyoishi kwa kukosa huduma mbalimbali za kijamii ikiwemo maji, barabara, Hospital n.k
Kitenge ameishauri Serikali kuwatafutia mahali salama pakuishi kwakazi waliopo hifadhini ili wapate huduma umuhimu za kijamii na waweze kuendelea kama binadamu wengine.
Nae Mjumbe MECIRA Oscar Oscar ameshangazwa baada ya kutembea umbali zaidi ya Km 45 lakini hajaona Wanyama zaidi ya pundamila kuchanganyika na mbuzi, ng’ombe kitendo ambacho kinahatarisha afya za wanyapori na usalama wao,
Pia ameogopeshwa na kasi ya ongezeko la wanyama wa kufugwa ng’ombr mbuzi kitu kinachosababisha Wanyamapori kukimbia, na kugombania malisho

Ngorongoro ni lazima ilindwe.....ila suala la Loliondo liangaliwe upya...Ukweli mchungu ni kwamba Wamaasai wanaharibu mazingira kuliko Muarabu wa Loliondo.
Inasikitisha saana, hawa jamaa kabla ya uhru walikuwa wanaishi na hao wanyama sasa leo wanaonekana ni kero anyway....i wish government ingekuwa inatumia takwimu na kuona ongeeko la watu kulinganisha na limited resources Nchi inamiliki.....Mamlaka ya ngorongoro ilivyoanzishwa hawa jamaa walikuwa elfu sita tu...leo wapo zaidi ya laki na ishirini anyway hili lilitakiwa lionekane siku nyingi,,,hawaruhusiwi kulima ndio umaskini ni mkubwa ila itumike njia ambazo ni sahihi mfano wanaweza anzishiwa wilaya yao na kuhudumiwa kwa mika kadhaa kabla hawajaanza jitegemea...na sio hizi ropaganda za akina kitenge
Wewe ni mmoja wapo wa mipango ya kishetani, kwenda bwana nitolee takataka zako hapa aliekwambia Ngorongoro isipokuepo basi nchi itasimama nani, nyie wasomi uchwara ndo mnaliua taifa Hili period, ujuaji mwingi kumbe fisadi mkubwa,Yaan umeandika upupu pori kabisa.. Mbuga inayoliingizia taifa fedha za kigeni leo hii wapewe binadamu wachache kwa sababu zipi za msingi?
Kila kitu kikizidi kiasi hua ni shiida, hao wafugaji kama mifugo yao inazidi eneo husika wahamishwe kutoka humo.. hao wanyama pori pia wana haki zao
Wanyama pori wakianza kupotea bila shaka utarudi hapa kuja kuilaumu serikali kwa kushindwa kusimamia Vizuri. Yaan sijui ni nani alieturoga watanzania. Hovyo sana