FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Aaah bana, mbona umeshau vingine? Umesahau na juzi tumekupa misitu yetu yote? Umesahau na Watanzania tuliokupa waje kuwa watumwa wako?Napenda kuchukua fursa hii adhimu kuwashukuru Watanganyika kwa bandari zenu zote, nawashukuru kwa kunipa misitu yenu yote, nawashukuru kwa kunipa Ngorongoro, nawashukuru kwa kunipa KIA nawashukuru kwa kunipa shirika la posta.
Mimi ntahakikisha nawaletea tende za madina kwa bei nafuu sana.
Mbona una kumbukumbu fupi? Usiwe mwizi wa fadhila.