Ngorongoro: Tundu Lissu atimiza malengo yake

Ngorongoro: Tundu Lissu atimiza malengo yake

Huyo shetani hapo katikati hawezi kuwa karibu na nyerere hata kule mbinguni hayupo atakuwa anawaka moto balaaa kama jehanamu kupo.
Hapana, huyo sio shetani. N JPM baba lao aliyeletwa duniani ili awe rais wa muda mfupi kutimiza alichopewa na mungu kuwafundisha watu nidhamu.
 
Ukweli ni Kwamba , lengo la ziara ya Tundu Lissu na Chama chake , kupeleka Oparesheni 255 kwenye maeneo ya hifadhi ya Ngorongoro ilikuwa ni kuitangazia dunia unyama wanaofanyiwa Wamasai na serikali ya Tanzania , wa kuwahamisha kwenye maeneo yao mithili ya nguruwe ama mifugo mingine .

Lissu alifahamu Jinsi viongozi walivyohongwa pesa na kukubali kuwaswaga Wamasai na kuwapeleka Handeni , na alijua kwamba aking'ang'ania ziara ile angekamatwa , na kukamatwa kwake kungeiamsha dunia kuelewa zaidi kuhusu yanayotendwa Ngorongoro , Mtego huu umefanikiwa kirahisi sana !
Ikumbukwe kwamba Tundu Lissu ni MTU WA 3 KWA UMAARUFU NCHINI TANZANIA tangu kuumbwa kwa Taifa hili , Wa kwanza ni Julius Nyerere , sasa unapokamata mtu kama huyu kwa sababu za kijinga kama hizi zilizotolewa na Polisi wa Tanzania , unakuwa moja kwa moja umeiamsha dunia na kuifanya ianze kuitupia Jicho Jambo hili kwa nguvu zaidi .

Lissu alijua kila kitu ila aliamua kujitoa Muhanga ili kuokoa Wamasai , Yaani ni kama Vile Yesu Kristo alivyosulubiwa Msalabani ili kuwaokoa wanadamu , Kimsingi Lissu amefanikiwa Malengo yake kwa 100% , Hii ndio tofauti kati ya Akili ndogo na Akili kubwa .

View attachment 2745271
Kimsingi Lissu amefanikiwa Malengo yake kwa 100% , Hii ndio tofauti kati ya Akili ndogo na Akili kubwa .[emoji419][emoji375]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tanzania sasa hivi imebakia kuwa Tanwood ya matukio baada ya Hollywood na Bollywood au Nollywood.

Sikatai kwamba TL aweza kuwa mwanasiasa alieko serious na siasa za nchi hii lakini mbona mwenyekiti wa taifa haongozani nae kwenye hizo operesheni ili kutia uzito?
amekataa ukibaraka wa mabwenyenye.
sio huyo tu viongozi wote wa kitaifa wameshtukia deal, we mtu wa kiki kama checkbob Lema na Heche unadhani wangekosa kwenye eneo la tukio kama ingekua sio deal?
 
Kimsingi Lissu amefanikiwa Malengo yake kwa 100% , Hii ndio tofauti kati ya Akili ndogo na Akili kubwa .[emoji419][emoji375]

Sent using Jamii Forums mobile app
Yes very true amefanikiwa pakubwa.

But pia waandamizi wenzie wa kitaifa wamefanikiwa zaidi kusense na kunotice the visions and missions of the man nationally and Internationally
 
Poyoyo tu yule taahira.

Kwa wajinga wenzake lazima mumuone ana akili. Si mnajulikana kondoo mliokosa wachungaji.
Nyote, hata huyo Samia wenu, mnayo hofu kubwa sana kuhusu Tundu Lissu. Ni haki yenu kuwa na hali hiyo, kwa sababu safari hii hamponi. Mtazolewa tu na tsunami inayojijenga wakati huu.
 
Mimi nafasi hiyo nampa Edward Sokoine, kataa ukitaka, lakini ukweli ndio huo. Hawa watu waliipenda Tanzania na kuitumikia kwa mioyo yao yote.

Tundu Lissu, 'by default', na yeye inamlazimu sasa kujitoa hivyo, na atafanikiwa tu.
Hiyo nafasi mnaitoa kwa kigezo cha upendo/Uzalendo? Vipi vigezo
 
Upo sahihi kabisa... Ni Julius Nyerere, JPM na wa tatu ni Lissu
JPM maarufu kwa Udikiteita/mauaji and the like!! siyo kwa wema wa kutoka moyoni, alikuwa anajifanya mwema to win the majority with low thinking capacity
 
Hakuna mfumo unaoweza kumshinda Mungu
Alafu aya mambo sijui mfumo , ndo umefanya watu tena kakundi kadogo tu kutufikisha apa kama taifa, Wakefie mbele huko, wenye mfumo ni wananchi wenyewe period,

Sio huo mfumo wa wahuni wachache ambao ukaa kulazimisha watu vilaza kamata nafasi za juu, safari hii watajua hawajui
 
Napenda kuchukua fursa hii adhimu kuwashukuru Watanganyika kwa bandari zenu zote, nawashukuru kwa kunipa misitu yenu yote, nawashukuru kwa kunipa Ngorongoro, nawashukuru kwa kunipa KIA nawashukuru kwa kunipa shirika la posta.

Mimi ntahakikisha nawaletea tende za madina kwa bei nafuu sana.
Ww unazingua sana😂😂😂😂
 
Usaliti wa Lissu kwa taifa lake utaisha lini ?!!!

Huko nyuma aliiandama serikali juu ya raslimali za MADINI na kudai kuwa MAKAMPUNI ya kiwekezaji yanatunyonya.....

Utawala wa JPM ukaja na makinikia na kuongeza mrahaba wa mapato ya madini ,Tundu Lissu akawa wakili wa MAKAMPUNI HAYO YA UWEKEZAJI.....[emoji1787][emoji1787]

Huyu ni mtu wa kubadilikabadilika....

Kubadilika huko ni kwa MASLAHI ya akina nani ?!!!



Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Kwahiyo hizo hino mlizoahidiwa mlipewa?

Hebu nje ya uongozi wa huyo magufuli aliitumiaje elimu yake juu ya wananchi wa tz na kufanikiwa kwayo.
 
Back
Top Bottom