SYLLOGIST!
JF-Expert Member
- Dec 28, 2007
- 8,189
- 7,853
Uzuri Dunia ilishajua yanayoendelea Ngorongoro na Loliondo, ukizingatia Dunia ni ile, wenye akili finyu wanaofikiri ipo Ulaya, Ukizingatia hao watu wa Ulaya walinyimwa kibali cha kuingia huko na mpaka kumpeleka Mzee Bwana Laigwanan Tundu Ole Lissu kutamka na kuitangazia Dunia hiyo hiyo inayodaiwa hapa, Hii ina maana , Tundu Lissu hajafikisha ujumbe huu huko Duniani, ina maana hajalikuza suala hili huko Duniani, ila Ina maana, tena kama kawaida ya CHADEMA kuteka nguvu na juhudi za Wananchi na wanaharakati wengine waliokuwa mstari wa mbele kuishutumu Serikali yetu, Unawezaje Kudai ametimiza lengo lake la kuitaarifu Dunia yanayojiri huko? Ni kipi cha ajabu alichokifanya huko?
Tundu Lissu anatumia mwanya huu kujiongezea Umaarufu, He is seeking cheap political score na hana lelote lile analilifanya kuwasaidia Wamasai zaidi ya Kuisaidia Serikali ya CCM kama walivyohaidiana kwenye Maridhiano, kwamba, watagawana madaraka baada ya 2025 kwa kutumia hizi mbwembwe na hadaa kututoa kwenye reli la Kupambana na Ufisadi wa Bandari yetu Salama.
Tundu Lissu, Kamwe hawezi kuwa katika ligi moja na Rais J.K Nyerere. Tuwichanganye mambo.
Tukirudi kwa Huyu bwana Erythrocyte, Likija suala lenye kugusa mioyo ya Watu wote na makabila yote ya Watanzania, huwezi kuanza kwa kuwatenga watu hao. Suala hili lahitaji Umoja wa Watanzania, na sio utenganishi wa Watanzania. Hakika kwa hayo machache uliyoanza nayo, ni dhahiri lengo lako ni kuona Tanzania iliyomegeka vipande vipande, kwa hilo, kwa lengo la kumpachika Tundu Lissu kama kibaraka wenu(wewe ni mamluki wa mabeberu) ushutumiwe na Ulaaniwe
Niseme tu, sawa, Tundu Lissu ametimiza lengo lake la kutaka aonewe huruma na Watanzania,hata hivyo hayo yataamuliwa kwenye kura ya 2025. Ambalo hajatimiza ni, Kuwasaidia Wamasai. Na wewe Erythrocyte, ulichotimiza ni kuwagawanya Watanzania tena kama juhudi zako siku zote za kufanya hivyo hapa JF..