joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Nilikua na Huawei Tablet kabla ya hii, pia nilikua na matatizo, ila ukweli mimi sipo vizuri kabisa katika matumizi ya hii Technolojia, nadhani tatizo lipo kwangu kama mtu.Naona hiyo Techno yako imebuma uliza Mchina nini tatizo!
Hapo kwa kupost tweets kadhaa hata mimi sielewi. Wacha wataalamu watuelezee.Mimi sio mzuri kabisa katika eneo zima la "IT", huwa ninashindwa hata kupost tweets zaidi ya moja katika post moja, lazima kila "tweets niibandike "separately".
Ninawaona wenzangu wanakusanya tweets nyingi na kuzibandika katika post moja, wanawezaje?.
Tony254
Kweli utumwa wa fikra Bado upo. Kiswahili kinazungumzwa na waafrika zaidi ya million 100 Ila Kuna mpumbavu mmoja anaona ufahari kutukuza lugha za mabeberu...mbona Hili swala huwaambii Wachina na Warusi.Hehe rais wenu eti ana Phd ya chemistry na huku kizungu kinamshinda. Maskini wa Mungu. Huwa anatia huruma akijaribu kuzungumza kwa kizungu.
Hilo swali sitoweza kulijibu kwasababu hata hiyo keyboard ya simu sijui nitaionaje kwasababu katika display ya simu yangu nimeweka short cuts za Apps.Keyboard ya simu yako ina clipboard?
Ukicopy vitu vingi vinakaa kwenye clipboard kwa hiyo kazi yako inakuwa ni kupaste tu bila kurudi rudi kwenda kucopy [emoji4][emoji4][emoji4]View attachment 1596597
Mimi huwa nashindwa kusave vitu viwili au zaidi kwenye clipboard. Huwa naweza kusave kitu kimoja tu at a time.Keyboard ya simu yako ina clipboard?
Ukicopy vitu vingi vinakaa kwenye clipboard kwa hiyo kazi yako inakuwa ni kupaste tu bila kurudi rudi kwenda kucopy [emoji4][emoji4][emoji4]View attachment 1596597
Hilo swali sitoweza kulijibu kwasababu hata hiyo keyboard ya simu sijui nitaionaje kwasababu katika display ya simu yangu nimeweka short cuts za Apps.
Ingia playstore download SwiftKey keyboard app ndio keyboard bora kabisa kwa upande wangu.Mimi huwa nashindwa kusave vitu viwili au zaidi kwenye clipboard. Huwa naweza kusave kitu kimoja tu at a time.
Inabidi niwaanzishie darasa wewe na joto la jiwe ila inabidi mwenzio akubali kuwa mwanafunzi wangu! kwanza inabidi ujue the Programming language inayotumiwa na JF hawa wanatumia HTML n PHP! ☝️ 😛😛☝️Hapo kwa kupost tweets kadhaa hata mimi sielewi. Wacha wataalamu watuelezee.
Katika hili ninakubali bila kinyongo kwasababu huko sijui mambo mengi sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Inabidi niwaanzishie darasa wewe na joto la jiwe ila inabidi mwenzio akubali kuwa mwanafunzi wangu! kwanza inabidi ujue the Programming language inayotumiwa na JF hawa wanatumia HTML n PHP!
Ingia playstore download SwiftKey keyboard app ndio keyboard bora kabisa kwa upande wangu.
Hujui hiki? joto la jiwe juzi umenipotezea muda kinoma imebidi leo nisilale usiku mzima kukamilisha kazi ya client wangu!Katika hili ninakubali bila kinyongo kwasababu huko sijui mambo mengi sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila kabla ya kuanza darasa, tumuombe Tony254 apitie hii video kisha atoe maoni yake bila upendeleoInabidi niwaanzishie darasa wewe na joto la jiwe ila inabidi mwenzio akubali kuwa mwanafunzi wangu! kwanza inabidi ujue the Programming language inayotumiwa na JF hawa wanatumia HTML n PHP! [emoji3516] 😛😛[emoji3516]
utaanzisha league mpaka msimu uishe ndo mpate suluhisho! na ikiwezekana mpaka ngao ya Hisani!
Hukupoteza muda. Ulitufunza mambo mengi tu.Hujui hiki? joto la jiwe juzi umenipotezea muda kinoma imebidi leo nisilale usiku mzima kukamilisha kazi ya client wangu!
Tukikaa vibaya mtatupita.
Hapana, wakenya wameanza kugundua kwamba Tanzania ipo katika mwelekeo sahihi katika maeneo mengi Sana, hasa baada ya hili janga la Corona, wachache sana, hasa waliopo hapa JF wanapata ugumu kukubali hadharani, hiyo ni hali ya kawaida kwa binadamu yeyote kukubali kushindwa kiurahisi, hasa kwa sisi waafrica.utaanzisha league mpaka msimu uishe ndo mpate suluhisho! na ikiwezekana mpaka ngao ya Hisani!
haya bwana nashkuru 🥺 🥺 nashukuru 🙏 !Hukupoteza muda. Ulitufunza mambo mengi tu.
Mimi ninachouzika na CCM ni huu mtindo wa kupita bila kupingwa! Utaleta machafuko si mzuri! Mambo ya kutaka Bungeni kuchukua over 80% ya viti haitusaidii! Kiukweli kwenye Wabunge kama si hizi hujma CCM na upinzani ungegonga 50-50! Imagine CCM wana Wabunge 30+ ready kuapishwa hata kabla ya 28/10!Hapana, wakenya wameanza kugundua kwamba Tanzania ipo katika mwelekeo sahihi katika maeneo mengi Sana, hasa baada ya hili janga la Corona, wachache sana, hasa waliopo hapa JF wanapata ugumu kukubali hadharani, hiyo ni hali ya kawaida kwa binadamu yeyote kukubali kushindwa kiurahisi, hasa kwa sisi waafrica.
Kuthibitisha hilo, chaguzi zote za Africa ni chache sana aliyeshindwa kukubali ameshindwa pamoja na kila kitu kuwa hadharani, mfano mzuri ni hapa Tanzania, ni wazi kwamba CCM ina nguvu za kupitiliza lakini bado upinzani unahisi kuibiwa kura. Pamoja na tafiti zote duniani kukipa ushindi CCM zaidi ya 80%, bado upinzani utapinga matokeo baada ya kutangazwa.
Itakua anatumia app,app aisapoti mambo mengi janja ya JFInakaa tatizo ni Techno anayotumia!
@Tony254 tukiacha GDP na baadhi ya maeneo machache ya maendeleo, Tanzania iko mbele ya Kenya tena sana. Kigezo kimoja tu cha GDP ndio kinaifanya Kenya kuwa mbele ya Tanzania.Tukikaa vibaya mtatupita.
Hebu jaribu ku-line feed the line below baada ya ku-quote kwa kubonyeza enter keyboard maana naona tag zako bado zinakataa! Hapo juu ☝️ Tony254 hajawa tagged japowkuwa umetumia @ sign.@Tony254 tukiacha GDP na baadhi ya maeneo machache ya maendeleo, Tanzania iko mbele ya Kenya tena sana. Kigezo kimoja tu cha GDP ndio kinaifanya Kenya kuwa mbele ya Tanzania.