Naguswa kumsaidia huyu.Heee!ππ
Nq kuoga muda mrefu ni kipaji. Wengine wakitoka kuoga wakiguswa na kitu wanarudi kuoga.Hii imenikumbusha bibi angu, alikua akiingia bafuni si chini ya masaa matatu anaoga tu....anakaa chini anaanza kujisugua hadi kuchaπ.
Huyu kuna kitu anakitaka kwa wanaume wa jf...Nq kuoga muda mrefu ni kipaji. Wengine wakitoka kuoga wakiguswa na kitu wanarudi kuoga.
Sasa huyu mjomba mwanaume anasugua gaga mpaka linakua laini sijui anatumia muda gani...
Kishakuwa tayariMwanaume unalingia miguu Milaini kama unataka kuwa zuchu Si useme tu
Hamna bana we unataka cha kiume ndio maana unasifia macho ya wanaume, mara una mguu laini.....wenye D mbili wamekuelewa mkuuAta wadada wanacho nachokitaka