Ngozi ya miguu yangu ni nyororo kuliko baadhi ya nyuso za watu

Ngozi ya miguu yangu ni nyororo kuliko baadhi ya nyuso za watu

Hii imenikumbusha bibi angu, alikua akiingia bafuni si chini ya masaa matatu anaoga tu....anakaa chini anaanza kujisugua hadi kucha😁.
Nq kuoga muda mrefu ni kipaji. Wengine wakitoka kuoga wakiguswa na kitu wanarudi kuoga.

Sasa huyu mjomba mwanaume anasugua gaga mpaka linakua laini sijui anatumia muda gani...
 
Yaani ngozi yangu ya miguu tuu inawavuruga hivi baathi ya member. Hivi nyinyi nikiwaambia Habari za ngozi inayozunguka Macho yangu na idadi ya Matango ambayo nayatumia kila wiki kwa ajili tu ya kuitunza si mtajinyonga kwa utando wa buibui.
 
Back
Top Bottom