TANZIA Nguli wa Soka Duniani, Mbrazili Pele afariki dunia

BBC world service wanarusha live breaking news toka sao paulo brazil. Makala maalumu zinaoneshwa enzi za uchezaji wake na katika matukio mengi ya kimichezo aliyoshiriki, BBC wanamuelezea kama mchezaji bora wa nyakati zote
 
Pumzika kwa amani legendary Pele. Siku kumi na mbili zilizopita upande wa pili kulikuwa na shangwe nderemo na vifijo baada ya Argentina kunyanua kwapa pale qatar.

Leo brazil ni huzuni na majonzi kwa kuondokewa na mtu au alama ya soka la brazil. Pumzika kwa amani pele.
 
Maneno haya ameandika Chawa.

Kuna kitu nimejifunza kupitia maisha ya mchezaji mstaafu wa Brazil. Kifo cha Pele kimeniletea taabu kwenye simu yangu usiku huu, yaani kila ninapogusa ni Pele tuu. CNN Pele, BBC Pele, Manchester Pele, Facebook Pele, Jf Pele na sasa naona waswahili wenzangu wa hapa Buguruni wameshaanza kumweka status kwenye simu zao.

Aisee bandugu kupitia maisha ya watu wengine tujifunze kuacha alama hapa Duniani, walau tukumbukwe siku tutakaponyang'anywa namba hapa Duniani.

Mimi kama Chawa na mmiliki wa ID zaidi ya tano hapa jukwaani natoa pole kwa ndugu na wafiwa wote.

NB: Kwa wale wenye michango, lambilambi na salamu za pole mnakaribishwa.
 
Itakuwa alishafariki kitambo tu toka world cup ilivyokuwa inaendelea wakaona ikitangazwa attention itahamia kwenye msiba

Kama amelala ktk Bwana tutamuona tena ktk ufufuo wa kwanza Kristo arudipo
Tulitegemea kuliona hili likizungumzwa

Bila kuona vitu kama hivi unafikiri tutajuaje kuwa tupo bongo??

Just incase umesahau au hukuwa na taarifa ni kwamba siku ya christmas familia yake ilienda kusheherekea hospitali pamoja naye.

Picha zilitumwa na video zilionesha tena akiwa katika tabasamu kubwa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umemkamataaaa hapo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
By
Bye bye the mighty Pele, The one and only RIP Mkali wa soka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…