Nguo na scaf yake vilionekana kuwa na damu na maji yaliyotokea puani wakati akibanwa na python, aliyekuwa mkosoaji wa elimu ya mfalme wa Beirut

Nguo na scaf yake vilionekana kuwa na damu na maji yaliyotokea puani wakati akibanwa na python, aliyekuwa mkosoaji wa elimu ya mfalme wa Beirut

hakika mkuu hatunaye tena
hadi machozi
Atakuwa aliuawa kikatili kweli na huyo gavana wa Beirut
jaman duniani kuna watu makatili
Kamanda alikuw bdo MDOGO sana Akichukua masters yake pale Maastricht
yote kwa yote Mungu atalipa tu
una ujasiri mkubwa sana kuungn na ufalme wa Beirut
utakuwa na ujasiri hata wa kujifunika shuka moja na nyoka
 
Kama wamemuua Ben si watupatie maiti yake tuizike?

Mnaofuatilia sana Taarifa za Habari mbalimbali za Duniani hebu nisaidieni Kunihabarisha kwani nina muda kidogo sijafuatilia taarifa hivi hadi hivi leo Maiti ya Mwandishi wa Habari wa Saudi Arabia Jamal Khashoggi aliyeuwawa katika Ubalozi mdogo huko Uturuki imeshapatikana au? Nitashukuru nikifahamishwa juu ya hili tafadhalini.
 
Damu hizi tutazilipia
Utazilipia wapi ?
Au utaenda Beirut?

Kiongozi na bosi wake huyo Kijana wamelala Fofofo mana anajua kuwa mission zote anashirikishwa mana ni wakala wa wauaji hulu akijifanya Mwenyekiti wa chama kumbu ni Nyoka anayegonga ndani ya chama kushirikiana na mawakala wa mfalme.
Duniana usimwamini mtu hasa mwanasiasa.
 
M
Aliibuka kijana akakosoa sana sana mpaka kukatamalaki tahamaki kwamba yule aliye kuwa mfalme wa Beirut hakuna na elimu ya sekondari, na akaenda mbali kusema kwamba ile elimu ya sekondari aliyoipata mfalme ilikuwa kubebwa na msimamizi wake,

Suala ili lilionekana kumkera sana aliyekuwa gavana wa jiji kubwa hapo Beirut akaamua kuingia kazini,

Wakatumia boti ya jeshi ambayo inapaki ufukweni mwa eneo ambapo daraja ambalo litajengwa mjini humo, akafungwa na bahati nzuri magwanda yake na scaf yake alikuwa navyo,

Mvuvi mmoja wa kisiwa cha Kluseo akaeleza kwamba wakati boti ile inelekea maeneo kuliko yale mavisiwa ambayo hawaruhusiwi kuingia waliona kama kuna mtu kafungwa kwa mbali, kwa kuwa ilikuwa boti ya wazi , lakin hawakujihakikisha zaid maana ilikuwa usiku,

Baada ya week maeneo Yale wakipita walikuta shati la kamanda huyo pembeni lina damu inayoonekana ilichuruzika kutoka kwenye mdomo au puani, na hii ni kutokana na kubanwa sana na python wa eneo lile,

R.I.P kamandaa
Fumbo hili, lakini nimeelewa!
 
Utazilipia wapi ?
Au utaenda Beirut?

Kiongozi na bosi wake huyo Kijana wamelala Fofofo mana anajua kuwa mission zote anashirikishwa mana ni wakala wa wauaji hulu akijifanya Mwenyekiti wa chama kumbu ni Nyoka anayegonga ndani ya chama kushirikiana na mawakala wa mfalme.
Duniana usimwamini mtu hasa mwanasiasa.
nimegundua una chuki binafsi na mwenyekiti
 
Mwanzo 4:10-11
[10]Akasema, Umefanya nini? Sauti ya damu ya ndugu yako inanililia kutoka katika ardhi.
[11]Basi sasa, umelaaniwa wewe katika ardhi, iliyofumbua kinywa chake ipokee damu ya ndugu yako kwa mkono wako;
 
Back
Top Bottom