Kirchhoff
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,735
- 8,541
Kabisa Mkuu.. nitafurahi tukielewa kwa undani na ushahidi uliotukuka wa sakata la Beirut!Kumbe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa Mkuu.. nitafurahi tukielewa kwa undani na ushahidi uliotukuka wa sakata la Beirut!Kumbe
hadi machozihakika mkuu hatunaye tena
hadi machozihakika mkuu hatunaye tena
kusoma hujui hata picha houni?Islamabad, Beirut? labda ni indrect way ya kiongelea Tz.
Kama wamemuua Ben si watupatie maiti yake tuizike?
Utazilipia wapi ?Damu hizi tutazilipia
Fumbo hili, lakini nimeelewa!Aliibuka kijana akakosoa sana sana mpaka kukatamalaki tahamaki kwamba yule aliye kuwa mfalme wa Beirut hakuna na elimu ya sekondari, na akaenda mbali kusema kwamba ile elimu ya sekondari aliyoipata mfalme ilikuwa kubebwa na msimamizi wake,
Suala ili lilionekana kumkera sana aliyekuwa gavana wa jiji kubwa hapo Beirut akaamua kuingia kazini,
Wakatumia boti ya jeshi ambayo inapaki ufukweni mwa eneo ambapo daraja ambalo litajengwa mjini humo, akafungwa na bahati nzuri magwanda yake na scaf yake alikuwa navyo,
Mvuvi mmoja wa kisiwa cha Kluseo akaeleza kwamba wakati boti ile inelekea maeneo kuliko yale mavisiwa ambayo hawaruhusiwi kuingia waliona kama kuna mtu kafungwa kwa mbali, kwa kuwa ilikuwa boti ya wazi , lakin hawakujihakikisha zaid maana ilikuwa usiku,
Baada ya week maeneo Yale wakipita walikuta shati la kamanda huyo pembeni lina damu inayoonekana ilichuruzika kutoka kwenye mdomo au puani, na hii ni kutokana na kubanwa sana na python wa eneo lile,
R.I.P kamandaa
nimegundua una chuki binafsi na mwenyekitiUtazilipia wapi ?
Au utaenda Beirut?
Kiongozi na bosi wake huyo Kijana wamelala Fofofo mana anajua kuwa mission zote anashirikishwa mana ni wakala wa wauaji hulu akijifanya Mwenyekiti wa chama kumbu ni Nyoka anayegonga ndani ya chama kushirikiana na mawakala wa mfalme.
Duniana usimwamini mtu hasa mwanasiasa.
TUMAINIEL ALIMTISHIA KUMUUA WAZIWAZI HAPA JAMVINICcTumainiel na memba mmoja humu hakika watakuwa wanajua kilichompata
Hicho kisiwa wanafuga pythons?Utazika kilichomezwa??
Unamaanisha nini?Ndugu zangu naomba mjuwe Koso ila juwa kuna kikomo. Otherwise wengi mtakufa kwa sifa zakijinga.