cosa nostra
JF-Expert Member
- Sep 17, 2010
- 1,773
- 1,805
- Thread starter
- #41
so true mkuuZiponguo nzurituu jeans nzuri, mashati, ya kiume, Tatizo wa bongo tunaulimbukeni wa kuiga,
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
so true mkuuZiponguo nzurituu jeans nzuri, mashati, ya kiume, Tatizo wa bongo tunaulimbukeni wa kuiga,
Sent using Jamii Forums mobile app
ANA TATIZO GANI HUYU ACHENI UMBEA![]()
Usemayo ni kweli sasa mwanaume rijali anavaa hivi ndo nini nmaana yake?!
hawa madogo wa siku hizi ndio swag zao na viduku balaaaUsipo vaa hivi utaonekana mshamba... Ila hizi style hapana aisee duh...![]()
![]()
![]()
sawa mkuu endelea kuvaa hivi tu kwani hayo maduka yanawateja wengi sana kama weweANA TATIZO GANI HUYU ACHENI UMBEA
We muda wa kuonyesha wezere lako bado unao?Kama una kitambi kama cha Mpoki wewe kashone tu Kaunda Suti.Hizo nguo waachie vijana.Muda wako umepita!
ndio swag kuonesha wezere mkuuWe muda wa kuonyesha wezere lako bado unao?
In white-collar crime, there are ink stains instead of bloodstains.
kweli kabisa Mungu atuepushe icAibu sana.
Naona hata Shetani anatucheka Wabongo tulivyo wepesi wa kubadilika kuelekea Upuuzi usiotuhusu.
Kila nafsi ijisimamie tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hamna tatizo mkuu.Nahisi una miaka kati ya 45 na 50.Cha kufanya ni kujaribu tu kushona nguo zenye mitindo ya enzi zako.sina kitambi ila bado sana kuvaa nguo tight mkuu inakua hakuna tofauti na mke wangu
Hahah wasilalanike wakishikwa hizo wezere sasa.ndio swag kuonesha wezere mkuu
Muda haugandi ndugu yangu.Lazima ujitahidi kwenda na muda.Enzi za kuvaa minguo mikubwa mikubwa zilikuwa miaka ya 70-80.We muda wa kuonyesha wezere lako bado unao?
In white-collar crime, there are ink stains instead of bloodstains.
Heshima Mkuu!VAA NGOZI MKUU URUDI ENZI ZENU ZA UJIMA...
Afu mkuu hata kaniki ulizokuwa unavaa sijui hata kama bado zinapatikana madukani.
Dogo lake unasahau Sasa na rangi eti shati la baby pink ama baby yellow. Na chini anavaa simple hazisomeki ni za ke au me. Na mdomoni anaweka lip shine na nyusi anatinda huku nywele ina wave.kuna mmoja nimemuona jana anakatako halafu kavaa jeans kachomekea yani jamaa alikuwa huku nyuma anatuacha hoi .. ila mwanaume kama natako achana na nguo za kubana na vichupa huwa mnatikisa nyuma sana
`halafu hana hela ha aahaDogo lake unasahau Sasa na rangi eti shati la baby pink ama baby yellow. Na chini anavaa simple hazisomeki ni za ke au me. Na mdomoni anaweka lip shine na nyusi anatinda huku nywele ina wave.
Sent using Jamii Forums mobile app
Heshima Mkuu.Muda haugandi ndugu yangu.Lazima ujitahidi kwenda na muda.Enzi za kuvaa minguo mikubwa mikubwa zilikuwa miaka ya 70-80.
Fafanua kidogo Mkuu.Kila nafsi ijisimamie tu.
Utumwa Mamboleo.![]()
Usemayo ni kweli sasa mwanaume rijali anavaa hivi ndo nini nmaana yake?!
Wallet zao siku hizi zina business cards tuu. Twende mbele turudi nyuma wazee wako na chapaa ndefu kuliko vijana. Na wazee wanawazidi vijana sanaaa hata kwenye nguvu za kiume.`halafu hana hela ha aaha
Life is short.Katika muda mfupi uliopewa hapa duniani unataki ufanye chocho kikupacho raha alimradi akiwakwazi wengine.Kama furaha yako ni kuvaa nguo kama za akina Pepe Kalle ni sawa ila waache na wenzio wafanye wanayopenda.Heshima Mkuu.
Kwenda na wakati ndiyo nini?.
Namna ya kusonga ugali miaka ya 70-80 na sasa kuna utofauti?. Kubadilika kupo ila kwakuwa wewe ni binadamu mwenye utashi ni sharti utumie mantiki katika mabadiliko yako.
Hayo yote ni madhara ya grouthink, pre programmed agendas, media programming, mob psychology na kadhalika.
Hekima ni Uhuru.
Braza acha masikhara aisee, inamaana uyu ni model wa nguo za kiume au ndo shoga mwenyewe. Bora nitembee kifua wazi sio icho kitisheti. Iyo suruali bora nivae guniaView attachment 573148
wanaume wa siku hizi hawa