Nguo za kiume za siku hizi zina viashiria vya ushoga

Nguo za kiume za siku hizi zina viashiria vya ushoga

images-jpg.573126

Usemayo ni kweli sasa mwanaume rijali anavaa hivi ndo nini nmaana yake?!
ANA TATIZO GANI HUYU ACHENI UMBEA
 
Kama una kitambi kama cha Mpoki wewe kashone tu Kaunda Suti.Hizo nguo waachie vijana.Muda wako umepita!
We muda wa kuonyesha wezere lako bado unao?

In white-collar crime, there are ink stains instead of bloodstains.
 
sina kitambi ila bado sana kuvaa nguo tight mkuu inakua hakuna tofauti na mke wangu
Hamna tatizo mkuu.Nahisi una miaka kati ya 45 na 50.Cha kufanya ni kujaribu tu kushona nguo zenye mitindo ya enzi zako.
 
We muda wa kuonyesha wezere lako bado unao?

In white-collar crime, there are ink stains instead of bloodstains.
Muda haugandi ndugu yangu.Lazima ujitahidi kwenda na muda.Enzi za kuvaa minguo mikubwa mikubwa zilikuwa miaka ya 70-80.
 
VAA NGOZI MKUU URUDI ENZI ZENU ZA UJIMA...
Afu
mkuu hata kaniki ulizokuwa unavaa sijui hata kama bado zinapatikana madukani.
Heshima Mkuu!

Tujifunze kutoka dunia nzima, lakini msingi na maudhui ni hapa nyumbani. Elimu ya kweli ni kujielewa, kuielewa jamii na kuuelewa ulimwengu.

Unaifahamu historia ya Magharibi?. Unafahamu kabla ya mavazi wanayoyavaa hivi sasa walikuwa wakivaa nini?, unafahamu mavazi yameanza kuvaliwa karne ipi na wapi?.

Mind you. Culture is not static, it is dynamic.

Hekima ni Uhuru.
 
kuna mmoja nimemuona jana anakatako halafu kavaa jeans kachomekea yani jamaa alikuwa huku nyuma anatuacha hoi .. ila mwanaume kama natako achana na nguo za kubana na vichupa huwa mnatikisa nyuma sana
Dogo lake unasahau Sasa na rangi eti shati la baby pink ama baby yellow. Na chini anavaa simple hazisomeki ni za ke au me. Na mdomoni anaweka lip shine na nyusi anatinda huku nywele ina wave.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Muda haugandi ndugu yangu.Lazima ujitahidi kwenda na muda.Enzi za kuvaa minguo mikubwa mikubwa zilikuwa miaka ya 70-80.
Heshima Mkuu.

Kwenda na wakati ndiyo nini?.

Namna ya kusonga ugali miaka ya 70-80 na sasa kuna utofauti?. Kubadilika kupo ila kwakuwa wewe ni binadamu mwenye utashi ni sharti utumie mantiki katika mabadiliko yako.

Hayo yote ni madhara ya grouthink, pre programmed agendas, media programming, mob psychology na kadhalika.

Hekima ni Uhuru.
 
`halafu hana hela ha aaha
Wallet zao siku hizi zina business cards tuu. Twende mbele turudi nyuma wazee wako na chapaa ndefu kuliko vijana. Na wazee wanawazidi vijana sanaaa hata kwenye nguvu za kiume.

This is very true. Nilikua kwenye kitu kimoja cha kuziba Pancha nikawa nafanya tafiti ya wanaokwenda kuziba Pancha yaan ktk kituo kimoja vijana wa kiume 20 waliokuja 6 kati yao wanahitaj huduma ya kupigwa jeki.na hao ni kati ya miaka 25-40

Wakati watu wazima wa kuanzia miaka 45-60 kati ya sampuli 50 ni mmoja tu alihitaj kupigwa jeki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Heshima Mkuu.

Kwenda na wakati ndiyo nini?.

Namna ya kusonga ugali miaka ya 70-80 na sasa kuna utofauti?. Kubadilika kupo ila kwakuwa wewe ni binadamu mwenye utashi ni sharti utumie mantiki katika mabadiliko yako.

Hayo yote ni madhara ya grouthink, pre programmed agendas, media programming, mob psychology na kadhalika.

Hekima ni Uhuru.
Life is short.Katika muda mfupi uliopewa hapa duniani unataki ufanye chocho kikupacho raha alimradi akiwakwazi wengine.Kama furaha yako ni kuvaa nguo kama za akina Pepe Kalle ni sawa ila waache na wenzio wafanye wanayopenda.
 
Back
Top Bottom