Zesh
JF-Expert Member
- Apr 27, 2017
- 15,395
- 25,049
😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 ebu acha zako dahHivi kuna wanaume bado wanavaa chupi? msinione mshamba
naona kama ikishafika kwenye mapaja nitajihisi mwanamke.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 ebu acha zako dahHivi kuna wanaume bado wanavaa chupi? msinione mshamba
naona kama ikishafika kwenye mapaja nitajihisi mwanamke.
Kuna tofauti gani kati ya chupi na boxer?boxer.
sijui nikuelezeje... chupi zinafunika tako.... na sehemu zetu siri zinakuwa ukikaa vibaya zitatokezea nje.Kuna tofauti gani kati ya chupi na boxer?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] umenichekesha sana. Kwahiyo hiyo picha ni ya boxer au chupi?sijui nikuelezeje... chupi zinafunika tako.... na sehemu zetu siri zinakuwa ukikaa vibaya zitatokezea nje.
ila boxer inashuka hadi kwenye mapaja kidogo.
View attachment 805016
mimi sijui naonaje kuvaa chupi...kwanza uvaaji wake najiona wa kike kabisa. ukiwa unaivaa lazima uipandishe kwa kutingishatingisha mapaja ipande kama mwanamke na kuivuta vuta ikae vizuri.
ila boxer ni kasuruali kafupi. Chupi hapana kwangu.
hiyo chupi.[emoji23] [emoji23] [emoji23] umenichekesha sana. Kwahiyo hiyo picha ni ya boxer au chupi?
Wanalowesha na nn boss ?Sipati picha harufu iliyopo unapozilindika ukichangia na mnavyoloweshaga chupi!
Sawa drZile safari zetu za kwenda kulipa kodi mwezini
SawaHata nusu saa inatosha inategemea na madoa yenyewe.
ninafuraha tuunafurahi nini wewe mtoto
Mtaacha lini kutusimlia mambo yenu ya ndani..[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]Kuna wanaofuliwa na wapenzi wao, wake zao, waume zao (wa kwangu atafua ni kiwa mgonjwa labda). Unafua ukitoka kuoga, Jumamosi unafua na nguo zote chafu?
Mimi nimeweka kibeseni bafuni, zile nyeupe huwa ninaloweka na omo. Ninaanikia hukohuko bafuni nimenunua ile rail ya kuanikia nguo ni special kwa vyupi.
mashallah zindunatatizo mimi mkuu sijawahi kuvaa 'Nyupi'
Kwahiyo hata ufuaji wake siujui!
navaa boxer toka nipo shule ya msingiHivi kuna wanaume bado wanavaa chupi? msinione mshamba
naona kama ikishafika kwenye mapaja nitajihisi mwanamke.
Dah......Kuna wanaofuliwa na wapenzi wao, wake zao, waume zao (wa kwangu atafua ni kiwa mgonjwa labda). Unafua ukitoka kuoga, Jumamosi unafua na nguo zote chafu?
Mimi nimeweka kibeseni bafuni, zile nyeupe huwa ninaloweka na omo. Ninaanikia hukohuko bafuni nimenunua ile rail ya kuanikia nguo ni special kwa vyupi.
mwanamme anayevaa Chupi nampa hongera.navaa boxer toka nipo shule ya msingi
mama kaninunulia sana chupi nilikua nikivaa zikichafuka tu natupa uvunguni sikuwahi kuzipenda kabisaaaa.....namake money naenda nunua boxer.....leo hii nina boxer nyingi kuliko nguo zangu nyingine
Chupi ianikwe nje kwenye upepo na jua la kutosha ili kuuwa vijidudu vya bacteria na fangasi sugu.Kuna wanaofuliwa na wapenzi wao, wake zao, waume zao (wa kwangu atafua ni kiwa mgonjwa labda). Unafua ukitoka kuoga, Jumamosi unafua na nguo zote chafu?
Mimi nimeweka kibeseni bafuni, zile nyeupe huwa ninaloweka na omo. Ninaanikia hukohuko bafuni nimenunua ile rail ya kuanikia nguo ni special kwa vyupi.
Huwa zinapata madoa ya kitu gani?Hata nusu saa inatosha inategemea na madoa yenyewe.