Nguo za ndani unafua saa ngapi?

Nguo za ndani unafua saa ngapi?

Hivi kuna wanaume bado wanavaa chupi? msinione mshamba

naona kama ikishafika kwenye mapaja nitajihisi mwanamke.
😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 ebu acha zako dah
 
Kuna tofauti gani kati ya chupi na boxer?
sijui nikuelezeje... chupi zinafunika tako.... na sehemu zetu siri zinakuwa ukikaa vibaya zitatokezea nje.

ila boxer inashuka hadi kwenye mapaja kidogo.

images+%281%29.jpeg

mimi sijui naonaje kuvaa chupi...kwanza uvaaji wake najiona wa kike kabisa. ukiwa unaivaa lazima uipandishe kwa kutingishatingisha mapaja ipande kama mwanamke na kuivuta vuta ikae vizuri.

ila boxer ni kasuruali kafupi. Chupi hapana kwangu.
 
sijui nikuelezeje... chupi zinafunika tako.... na sehemu zetu siri zinakuwa ukikaa vibaya zitatokezea nje.

ila boxer inashuka hadi kwenye mapaja kidogo.

View attachment 805016

mimi sijui naonaje kuvaa chupi...kwanza uvaaji wake najiona wa kike kabisa. ukiwa unaivaa lazima uipandishe kwa kutingishatingisha mapaja ipande kama mwanamke na kuivuta vuta ikae vizuri.

ila boxer ni kasuruali kafupi. Chupi hapana kwangu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] umenichekesha sana. Kwahiyo hiyo picha ni ya boxer au chupi?
 
Kuna wanaofuliwa na wapenzi wao, wake zao, waume zao (wa kwangu atafua ni kiwa mgonjwa labda). Unafua ukitoka kuoga, Jumamosi unafua na nguo zote chafu?

Mimi nimeweka kibeseni bafuni, zile nyeupe huwa ninaloweka na omo. Ninaanikia hukohuko bafuni nimenunua ile rail ya kuanikia nguo ni special kwa vyupi.
Mtaacha lini kutusimlia mambo yenu ya ndani..[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
 
Hivi kuna wanaume bado wanavaa chupi? msinione mshamba

naona kama ikishafika kwenye mapaja nitajihisi mwanamke.
navaa boxer toka nipo shule ya msingi
mama kaninunulia sana chupi nilikua nikivaa zikichafuka tu natupa uvunguni sikuwahi kuzipenda kabisaaaa.....namake money naenda nunua boxer.....leo hii nina boxer nyingi kuliko nguo zangu nyingine
 
Jamani nina miaka sijaona mtu kavaa chupi hadi niingie instagram kumuangalia Gigy Money. Naomba mwenye huruma aweke japo picha inaweza kuwa yake au la.

Ila isiwe ya Gigy Money, nishamzoea
 
Kuna wanaofuliwa na wapenzi wao, wake zao, waume zao (wa kwangu atafua ni kiwa mgonjwa labda). Unafua ukitoka kuoga, Jumamosi unafua na nguo zote chafu?

Mimi nimeweka kibeseni bafuni, zile nyeupe huwa ninaloweka na omo. Ninaanikia hukohuko bafuni nimenunua ile rail ya kuanikia nguo ni special kwa vyupi.
Dah......
Health Benefits Of Not Wearing Underwear
 
navaa boxer toka nipo shule ya msingi
mama kaninunulia sana chupi nilikua nikivaa zikichafuka tu natupa uvunguni sikuwahi kuzipenda kabisaaaa.....namake money naenda nunua boxer.....leo hii nina boxer nyingi kuliko nguo zangu nyingine
mwanamme anayevaa Chupi nampa hongera.
 
Hizo Microscope ni wanawake tu.. Mwanaume uvae ili iweje?
 
Kuna wanaofuliwa na wapenzi wao, wake zao, waume zao (wa kwangu atafua ni kiwa mgonjwa labda). Unafua ukitoka kuoga, Jumamosi unafua na nguo zote chafu?

Mimi nimeweka kibeseni bafuni, zile nyeupe huwa ninaloweka na omo. Ninaanikia hukohuko bafuni nimenunua ile rail ya kuanikia nguo ni special kwa vyupi.
Chupi ianikwe nje kwenye upepo na jua la kutosha ili kuuwa vijidudu vya bacteria na fangasi sugu.
 
Back
Top Bottom