Imani rubaba
JF-Expert Member
- Dec 31, 2013
- 254
- 350
😅 Bei ya kweli ni shingapi?Hizi bei mkuu kamba hiyo?
😅 Najis ni nini?Wewe binaadamu achana na nguruwe
Nguruwe ni najisi
😅 ujaitwa mbona?Ukiona unaitiwa ufugaji wa nguruwe wasap tena kwa vitisho ,ujue wewe ndio nguruwe.
Kazi yangu ni kuwasanua hao nguruwe waliojazana humu, utakao wapiga huko wasap.😅 ujaitwa mbona?
Sawa msanuajiKazi yangu ni kuwasanua hao nguruwe waliojazana humu, utakao wapiga huko wasap.
Leo nataka tuangazie fursa hii ambayo imekuwa ikizungumzwa sana lakini bado haijatiliwa mkazo. Ukiitazama kwa jicho la fursa — inaweza kuwa njia ya tobo lako la kiuchumi mwaka huu!
❓Je, unajua?
Nguruwe ni miongoni mwa nyama zinazopendwa sana Tanzania, hasa maeneo ya mijini kama Dar es Salaam, Mwanza, Mbeya, na Arusha.
Kulingana na takwimu za FAO na Mifugo Tanzania:
- Watanzania wanakula zaidi ya tani 50,000 za nyama ya nguruwe kila mwaka, lakini uzalishaji wa ndani hautoshelezi hata nusu ya mahitaji hayo!
- Sekta hii inakua kwa zaidi ya 8% kila mwaka, lakini bado ni underutilized!
Sasa tafakari hivi:
✅ Ukiwa na mbegu bora ya nguruwe (kama Landrace, Large White au Camborough), ukampa lishe bora na matunzo stahiki, kwa muda wa miezi 6 hadi 7 tu — anakuwa na uzito wa kilo 100 au zaidi 🐖!
✅ Nguruwe wa aina nzuri huzaa si chini ya watoto 8 hadi 12 kwa uzao wa kwanza 🐷 — na anaweza kuzaa hadi mara 2 kwa mwaka!
Hebu Piga Hesabu:
➡️ Bei ya kilo 1 ya nyama ya nguruwe kwa sasa ni kati ya Tsh 8,000 hadi 12,000 kutegemeana na eneo.
➡️ Nguruwe mwenye kilo 100 ni sawa na Tsh 800,000 hadi 1,200,000 kwa mauzo ya nyama!
➡️ Mtoto wa nguruwe (ndama) aliyeachishwa anaweza kwenda kwa Tsh 120,000 hadi 250,000!
💡 Je, umeshachunguza bei katika eneo lako? Umewahi kujiuliza kwa nini wachache sana wanafuga nguruwe kibiashara kikamilifu?
Sasa ni muda wako!
Ufugaji wa nguruwe sio hadithi tena, ni njia halali na halisia ya kujiinua kiuchumi hasa kwa kijana, mama wa nyumbani, au mkulima mdogo.
Hii si hadithi za mjini — ni uhalisia unaohitaji mtu wa kuchukua hatua.
Unataka kuanza lakini huna maarifa ya kutosha? Karibu katika Jumuiya yetu
📲 Tuma neno NIUNGE kupitia WhatsApp kwa kubofya hapa:
👉 Rubaba Media
🗣️ Ukiipuuza hii leo, mwakani utakumbuka kuwa ulikuwa na nafasi ya kubadilisha maisha yako…
Sasa ni wakati wako.
Chukua hatua.
Anza na nguruwe mmoja — uje uniambie!
🟢 Tuma kwa mtu mwingine pia — huenda ukamwokoa!
Kuumia kwa kenge ni mpaka watoe damu .Dr. Manguruwe hujachoka tu kutuingiza mjini mzee wangu?
Vanilla international ulitupiga, ukaja nguruwe kule dodoma ukatuacha.
Unaona raha gani kututapeli, we mzee?
Pole sana ndugu, itakua umekosea njiaDr. Manguruwe hujachoka tu kutuingiza mjini mzee wangu?
Vanilla international ulitupiga, ukaja nguruwe kule dodoma ukatuacha.
Unaona raha gani kututapeli, we mzee?
😅 Najis ni nini?
Umetoa Bei Ya Faida...Vipi Juu Ya Bei ya Matumizi ya lishe Bora kwa Nguruwe mmoja, given Banda Lipo
Leo nataka tuangazie fursa hii ambayo imekuwa ikizungumzwa sana lakini bado haijatiliwa mkazo. Ukiitazama kwa jicho la fursa — inaweza kuwa njia ya tobo lako la kiuchumi mwaka huu!
❓Je, unajua?
Nguruwe ni miongoni mwa nyama zinazopendwa sana Tanzania, hasa maeneo ya mijini kama Dar es Salaam, Mwanza, Mbeya, na Arusha.
Kulingana na takwimu za FAO na Mifugo Tanzania:
- Watanzania wanakula zaidi ya tani 50,000 za nyama ya nguruwe kila mwaka, lakini uzalishaji wa ndani hautoshelezi hata nusu ya mahitaji hayo!
- Sekta hii inakua kwa zaidi ya 8% kila mwaka, lakini bado ni underutilized!
Sasa tafakari hivi:
✅ Ukiwa na mbegu bora ya nguruwe (kama Landrace, Large White au Camborough), ukampa lishe bora na matunzo stahiki, kwa muda wa miezi 6 hadi 7 tu — anakuwa na uzito wa kilo 100 au zaidi 🐖!
✅ Nguruwe wa aina nzuri huzaa si chini ya watoto 8 hadi 12 kwa uzao wa kwanza 🐷 — na anaweza kuzaa hadi mara 2 kwa mwaka!
Hebu Piga Hesabu:
➡️ Bei ya kilo 1 ya nyama ya nguruwe kwa sasa ni kati ya Tsh 8,000 hadi 12,000 kutegemeana na eneo.
➡️ Nguruwe mwenye kilo 100 ni sawa na Tsh 800,000 hadi 1,200,000 kwa mauzo ya nyama!
➡️ Mtoto wa nguruwe (ndama) aliyeachishwa anaweza kwenda kwa Tsh 120,000 hadi 250,000!
💡 Je, umeshachunguza bei katika eneo lako? Umewahi kujiuliza kwa nini wachache sana wanafuga nguruwe kibiashara kikamilifu?
Sasa ni muda wako!
Ufugaji wa nguruwe sio hadithi tena, ni njia halali na halisia ya kujiinua kiuchumi hasa kwa kijana, mama wa nyumbani, au mkulima mdogo.
Hii si hadithi za mjini — ni uhalisia unaohitaji mtu wa kuchukua hatua.
Unataka kuanza lakini huna maarifa ya kutosha? Karibu katika Jumuiya yetu
📲 Tuma neno NIUNGE kupitia WhatsApp kwa kubofya hapa:
👉 Rubaba Media
🗣️ Ukiipuuza hii leo, mwakani utakumbuka kuwa ulikuwa na nafasi ya kubadilisha maisha yako…
Sasa ni wakati wako.
Chukua hatua.
Anza na nguruwe mmoja — uje uniambie!
🟢 Tuma kwa mtu mwingine pia — huenda ukamwokoa!
😂Ukiona unaitiwa ufugaji wa nguruwe wasap tena kwa vitisho ,ujue wewe ndio nguruwe.
Asante. Nimekosa mimi, nimekosa sana. Nisamehe mimiPole sana ndugu, itakua umekosea njia
yote hayo tunayajadili na kuyaangazia katika group letuUmetoa Bei Ya Faida...Vipi Juu Ya Bei ya Matumizi ya lishe Bora kwa Nguruwe mmoja, given Banda Lipo
Najisi Ni kitu kinachotoka ukila mavi,mkojo,damu ama jasho hapo Umekula Najisi Sio chakula kinachoingia Kinywani... Tunavibariki tunavyokula Kwa Mungu Hakuna Kiumbe Najisi... Hio nikukufuru umbaji "Tutakula vinavyofisha na Havitatudhuru" Nguvu ya Kuwa Na Yesu KristoWewe binaadamu achana na nguruwe
Nguruwe ni najisi
Link ya Group iko Pande Gani?yote hayo tunayajadili na kuyaangazia katika group letu