Nguruwe mmoja anaweza kukupa hadi zaidi ya TSh. Milioni 1 ndani ya muda huu tu!

Najisi Ni kitu kinachotoka ukila mavi,mkojo,damu ama jasho hapo Umekula Najisi Sio chakula kinachoingia Kinywani... Tunavibariki tunavyokula Kwa Mungu Hakuna Kiumbe Najisi... Hio nikukufuru umbaji "Tutakula vinavyofisha na Havitatudhuru" Nguvu ya Kuwa Na Yesu Kristo
Alafu wewe jamaa upo seriously kabisa
😂😂
 
Ni kweli changamoto hazikosekani, ila hakuna kisicho an changamoto
Kama utakuwa na uhakika wa chakula, mradi wa nguruwe unalipa sana kama utawekeza kwa ukubwa.
Kama utafanikiwa kuwakuza 500+, wewe utakuwa ni mtu mwingine ila mifuko lazima itoboke sana katika kuhudumia, vinginevyo uwe umelima mashamba kwa ajili ya chakula cha nguruwe.​
 
​

Leo nataka tuangazie fursa hii ambayo imekuwa ikizungumzwa sana lakini bado haijatiliwa mkazo. Ukiitazama kwa jicho la fursa — inaweza kuwa njia ya tobo lako la kiuchumi mwaka huu!

❓Je, unajua?

Nguruwe ni miongoni mwa nyama zinazopendwa sana Tanzania, hasa maeneo ya mijini kama Dar es Salaam, Mwanza, Mbeya, na Arusha.

Kulingana na takwimu za FAO na Mifugo Tanzania:
  • Watanzania wanakula zaidi ya tani 50,000 za nyama ya nguruwe kila mwaka, lakini uzalishaji wa ndani hautoshelezi hata nusu ya mahitaji hayo!
  • Sekta hii inakua kwa zaidi ya 8% kila mwaka, lakini bado ni underutilized!

Sasa tafakari hivi:

✅ Ukiwa na mbegu bora ya nguruwe (kama Landrace, Large White au Camborough), ukampa lishe bora na matunzo stahiki, kwa muda wa miezi 6 hadi 7 tu — anakuwa na uzito wa kilo 100 au zaidi 🐖!

✅ Nguruwe wa aina nzuri huzaa si chini ya watoto 8 hadi 12 kwa uzao wa kwanza 🐷 — na anaweza kuzaa hadi mara 2 kwa mwaka!

Hebu Piga Hesabu:​

➡️ Bei ya kilo 1 ya nyama ya nguruwe kwa sasa ni kati ya Tsh 8,000 hadi 12,000 kutegemeana na eneo.
➡️ Nguruwe mwenye kilo 100 ni sawa na Tsh 800,000 hadi 1,200,000 kwa mauzo ya nyama!
➡️ Mtoto wa nguruwe (ndama) aliyeachishwa anaweza kwenda kwa Tsh 120,000 hadi 250,000!

💡 Je, umeshachunguza bei katika eneo lako? Umewahi kujiuliza kwa nini wachache sana wanafuga nguruwe kibiashara kikamilifu?

​

Sasa ni muda wako!​

Ufugaji wa nguruwe sio hadithi tena, ni njia halali na halisia ya kujiinua kiuchumi hasa kwa kijana, mama wa nyumbani, au mkulima mdogo.

Hii si hadithi za mjini — ni uhalisia unaohitaji mtu wa kuchukua hatua.

​

Unataka kuanza lakini huna maarifa ya kutosha? Karibu katika Jumuiya yetu​

📲 Tuma neno NIUNGE kupitia WhatsApp kwa kubofya hapa:
👉 Rubaba Media

🗣️ Ukiipuuza hii leo, mwakani utakumbuka kuwa ulikuwa na nafasi ya kubadilisha maisha yako…

Sasa ni wakati wako.
Chukua hatua.
Anza na nguruwe mmoja — uje uniambie!

🟢 Tuma kwa mtu mwingine pia — huenda ukamwokoa!
Kwa constext ya TANZANIA, kama huna mtaji mkubwa, kama wewe unajitafuta,, hii KITU hapana,,,kilimo cha kwenye makaratasi ni kweli kinalipa na faida unaweza iona lakini in reality hakuna kitu kama HICHO,

Kuna swala la chakula + unaweza anza fuga mfano pumba bei yake ni 20, 000, ikapanda mpaka uifikishe shambani kwa 43,000,, wakati wa kuuza hiyo factor dalali hatokuelewa

Kilimo + UFUGAJI Tanzania BORA uwe dalali, ndio utaiona pesa...mkulima au mfugaji hana direct access na mlaji mpaka upite kwa dalali,,,yeye anazo option anapokea mzigo sehemu mbalimbali wakwako ukimringia anaconider option nyingine....hapo bado hujauziwa DAWA na chanjo FEKI,,,, bado unasafirirsha USHURU na vibali,,,mara mlipuko wa magonjwa ;;;;unaweza likimbia shamba lako

Siku tukiweza adopt option kama ya South Africa tu kuna kuwa na ile minada angalau unaweza toboa ila mifumo tulionayo tuendelee tu kufuga kwa kujaribu si kutoboa kimaisha
 
​

Leo nataka tuangazie fursa hii ambayo imekuwa ikizungumzwa sana lakini bado haijatiliwa mkazo. Ukiitazama kwa jicho la fursa — inaweza kuwa njia ya tobo lako la kiuchumi mwaka huu!

❓Je, unajua?

Nguruwe ni miongoni mwa nyama zinazopendwa sana Tanzania, hasa maeneo ya mijini kama Dar es Salaam, Mwanza, Mbeya, na Arusha.

Kulingana na takwimu za FAO na Mifugo Tanzania:
  • Watanzania wanakula zaidi ya tani 50,000 za nyama ya nguruwe kila mwaka, lakini uzalishaji wa ndani hautoshelezi hata nusu ya mahitaji hayo!
  • Sekta hii inakua kwa zaidi ya 8% kila mwaka, lakini bado ni underutilized!

Sasa tafakari hivi:

✅ Ukiwa na mbegu bora ya nguruwe (kama Landrace, Large White au Camborough), ukampa lishe bora na matunzo stahiki, kwa muda wa miezi 6 hadi 7 tu — anakuwa na uzito wa kilo 100 au zaidi 🐖!

✅ Nguruwe wa aina nzuri huzaa si chini ya watoto 8 hadi 12 kwa uzao wa kwanza 🐷 — na anaweza kuzaa hadi mara 2 kwa mwaka!

Hebu Piga Hesabu:​

➡️ Bei ya kilo 1 ya nyama ya nguruwe kwa sasa ni kati ya Tsh 8,000 hadi 12,000 kutegemeana na eneo.
➡️ Nguruwe mwenye kilo 100 ni sawa na Tsh 800,000 hadi 1,200,000 kwa mauzo ya nyama!
➡️ Mtoto wa nguruwe (ndama) aliyeachishwa anaweza kwenda kwa Tsh 120,000 hadi 250,000!

💡 Je, umeshachunguza bei katika eneo lako? Umewahi kujiuliza kwa nini wachache sana wanafuga nguruwe kibiashara kikamilifu?

​

Sasa ni muda wako!​

Ufugaji wa nguruwe sio hadithi tena, ni njia halali na halisia ya kujiinua kiuchumi hasa kwa kijana, mama wa nyumbani, au mkulima mdogo.

Hii si hadithi za mjini — ni uhalisia unaohitaji mtu wa kuchukua hatua.

​

Unataka kuanza lakini huna maarifa ya kutosha? Karibu katika Jumuiya yetu​

📲 Tuma neno NIUNGE kupitia WhatsApp kwa kubofya hapa:
👉 Rubaba Media

🗣️ Ukiipuuza hii leo, mwakani utakumbuka kuwa ulikuwa na nafasi ya kubadilisha maisha yako…

Sasa ni wakati wako.
Chukua hatua.
Anza na nguruwe mmoja — uje uniambie!

🟢 Tuma kwa mtu mwingine pia — huenda ukamwokoa!
Pigo zanguhizi. Mwezi May nimeingiza 2m kwa kuuza vibwagala tu. Na sasa nimepandikiza tena. Naamini Novemba nitapata tena 2m
 
Back
Top Bottom