Nguruwe mmoja anaweza kukupa hadi zaidi ya TSh. Milioni 1 ndani ya muda huu tu!

haya mambo ya links tubonye ndo serikali inatuhubiria daily tuyaache,hapo ungeweka namba ya tsap tuu watu tuje
 
Mi nimeipenda hii biashara ila naogopeshwa na speed ya ulaji hawa viumbe naweza nikaanzisha wakazaa nikapagawa maana watoto huwa wengi mno
 
Dah Waislam wanalijuwa hili kweli, wache waje waanze kuandamana juu ya faida ya nguruwe.
 
Mkuu nakubaliana na wewe kabisa, sjida ni kwamba humu kumehaaawapumbavu sana siku hizi, ukija na Idea wao wanacho jua wanapigwa, yani kwa sasa hupaswi kupost Idea yoyote humu,
 
Labda kama kwato na utumbo navyo utapata wanunuzo wake kwa bei ya kitalii
 
Ukiona unaitiwa ufugaji wa nguruwe wasap tena kwa vitisho ,ujue wewe ndio nguruwe.
Mlitaka a present vipi? aseme nguruwe wa aina hio ukimfuga unakula hasara? mnataka negative story tu humu, Forum isha haribiwa na wapumbavu, kupingana kwa hoja hakupo sasa ni ujinga ujinga tu.
 
😅 Bei ya kweli ni shingapi?
Mkuu achana na wajinga na pia a cha kupost idea yoyote humu, humu kumejaa wajinga tupu, Hii forum kitambo ilikuwa na mijadala moto sana ukitoa forum ya siasa, ila siku hizi ni imevamiwa na wajinga hakuna kupingana kwa hoja wao wanaza ujinga tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…