Nguruwe ni mojawapo kati ya wanyama HAYAWANI?

Reason aliyokupa mzee(baba mchungaji) ina make sense,though pigs are excellent swimmers! Labda kwa sababu waliingiwa mapepo ndio maana walishindwa kuogelea! Anyways mmenikumbusha nipite Mbeya Pazuri jioni nikale mdudu wakati nasubiri game ya man utd na arsenal! Mdudu for life🍻
 
Dogo we vyote kula tu labda achana na Yale mambo yenu ya ugaidi kujitoa muhanga

Kwa kuwa ilinenwa kwenye vitabu vitakatifu "mpende jirani yako kams unavyojipenda"
 
Siku figo yako ikifeli na ukaambiwa uwekewe figo ya nguruwe ndo utaona umuhimu wa huyu mnyama
 
Una hakika hujawahi kula nyamafu wewe? Halafu hayo makatazo ya kutokula nguruwe et al ni ya Walawi, wewe mhadzabe yanakuhusu nini?
 
Dr Mambo Jambo, dokta wa JF ameshawambia,

Huyo mdudu ni hatari Kwa AFYA.
Huyo mdudu hatari kwa afya alitumiwa na babu hadi wajukuu na vitukuu tunaendelea kumtumia bila tone la shaka, hatutishwi na maneno ya madokta manyau nyau
 
Sasa kama nguruwe anamchukiza alimuumba wa nini?
 
Acha wehu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…