Nguvu inawezaje kutengeneza object?

Nguvu inawezaje kutengeneza object?

Wewe husomi ninavyokujibu au una makengeza au huna uwezo wa kulijua swali ukiliona?

Unasema sijakuuliza swali katika uzi huu wakati post unayonukuu imekuuliza maswali?
Kumbe umeuliza katika post niliyonukuu! sasa iweje uulize swali na hapo hapo useme sijajibu?
 
Hilo swali lako la "thibitisha" ndilo nililolitaka.

Unaniambia nithibitishe kitu ambacho hakipo na hakionekani, nitaanzaje kuthibitisha?

Hapo ndipo utaona ugumu wa kuthibitisha Mungu hayupo.

Ila, kwa mantiki, nimeshathibitisha Mungu hayupo kwa contradiction.

An all loving, all knowing and all capable God couldn't have created this imperfect world which is full of evil. He would have done a much better job.

Swali lako la "Pia usikwepe swali langu, je Nguvu na Sheria zilizofanya ulimwengu na zisizoweza kujipinga zenyewe zinakuwaje Mdoli?" lina msingi wa uongo.

Lina msingi wa uongo kwa sababu linasema "zisizoweza kujipinga zenyewe" wakati nakuonyesha kwamba huyo Mungu wenu mwenye upendo wote, ujuzi wote na uwezo wote kuumba ulimwengu huu ambao mabaya yanawezekana ni kujipinga mwenyewe tayari.

Hawezi kuwepo kwa sababu idea ya kuwepo kwake inajipinga yenyewe.

Hawezi kuwepo kama pembetatu ambayo hapo hapo ni duara isivyoweza kuwepo.

Habari za Mungu, sawasawa na habari ya pembetatu duara, inajipinga yenyewe.
Upendo ni nini kwako? Kujua na Kuweza yote ni nini kwako? Msingi wa hoja yako ni dhaifu kwani nilishakuambia Mungu HAWEZI kufanya upumbavu. Pia kama ungekuwa unalenga kujifunza ungekumbuka kuwa nilikuambia, Upendo ni tokeo la Kutii sheria za Mungu, wala si kugawa chakula kwa masikini na wagonjwa ILA TU KAMA UNATII SHERIA YA MUNGU.

Upendo si kumuumba tu binadamu like robot je ni zao la sheria? Ipi ni tofauti ya nafasi ya binadamu na Ujumbe vingine ulimwenguni?
Kwa sheria na nguvu ulimwengu ulifanyika UWEZO JUU YA ULIMWENGU , kwa sheria na nguvu ulimwengu unaishi UPENDO, kwa Upendo ulimwengu unadumu KUSUDIO/KUDRA.
Anaita sasa.
 
Unafanya circular argument.

Kwa sababu nakuuliza thibitisha Mungu yupo. Huwezi. Unaniambia Mungu hawezi kufanya upumbavu.

Kabla ya kusema Mungu hawezi kufanya upumbavu thibitisha kwamba yupo.

Binadamu alivyo sasa hivi si kama robot?
 
Mwenye hoja za kuzunguka ni wewe, kwani hakuna swali usilowahi jibiwa.
Mungu ni Asili ambayo ni Nguvu na Sheria na kwazo ulimwengu ulifanyika. Je, unatambua uwepo wa NGUVU NA SHERIA ZILIZOFANYA ULIMWENGU? Hizo ndizo niziitazo Mungu. Je, zipo ama azipo? Jibu hilo kwanza.
 
Umesema Mungu wako ni asili, ambayo ni nguvu na sharia. Hili jibu liko vague. Unaweza kuwa unaongelea chochote hapa.

Nataka nijue Zaidi huyo Mungu wako yukoje.

Mungu wako ana upendo? Hususan upendo mkuu?
 
TOA JIBU KWANZA JE, HIYO ASILI AMBAYO NI SHERIA NA NGUVU ILIYOFANYA ULIMWENGU, IPO AU HAIPO?
Kama unatambua uwepo wake, nitakufunulia UKUU wa hiyo Asili. Je, unatambua uwepo wa Asili?
 
TOA JIBU KWANZA JE, HIYO ASILI AMBAYO NI SHERIA NA NGUVU ILIYOFANYA ULIMWENGU, IPO AU HAIPO?
Kama unatambua uwepo wake, nitakufunulia UKUU wa hiyo Asili. Je, unatambua uwepo wa Asili?
Hujaelezea asili gani, nimeuliza ili nipate kuijua Zaidi hiyo asili ili niweze kukujibu kama ipo au ipo kwa maoni yangu.

Nahitaji habari Zaidi kuweza kukujibu.

Mathalani, asili hiyo ina upendo au haina?

Nisaidie niweze kukuelewa Zaidi ili nikujibu.
 
Sasa unaulizaje asili gani halikuwa nimeshasema Iliyofanya Ulimwengu? Wewe unajua asili ipi nyingine kama ipo?
Nimesema tuanze hapo kwanza, habari ya upendo itafuata.
 
Sasa unaulizaje asili gani halikuwa nimeshasema Iliyofanya Ulimwengu? Wewe unajua asili ipi nyingine kama ipo?
Nimesema tuanze hapo kwanza, habari ya upendo itafuata.
Nimekuuliza, asili hiyo ina upendo au haina? Inaweza kupenda au haiwezi?

Hujajibu swali hili.

Nitakujibu vipi swali ikiwa hujatoa maelezo ya kutosha?
 
Nimekuuliza, asili hiyo ina upendo au haina? Inaweza kupenda au haiwezi?

Hujajibu swali hili.

Nitakujibu vipi swali ikiwa hujatoa maelezo ya kutosha?
Sijakuuliza habari za Asili inayopenda ama laa, kwanini Unakwepa? Ninachotaka uniambie kama unatambua kuwa ulimwengu umefanyika kwa asili ambayo ni sheria na nguvu.
 
Kisayansi-Nguvu inaweza kutengeneza object
(Ukisoma vizuri theories za kina Newton, Einstein na wengineo kama kina Faraday n.k).

Kiimani - Mfano pale Yesu Kristo alipotembea juu ya maji,Nabii Musa alipopiga fimbo chini ikageuka nyoka n.k).

Safari ya Mtumie Mohamed S. W aliposafiri kwa siku moja kwenda kwenye mbingu ya mbali kabisa (hapa wenzetu waislamu wanaweza elezea vizuri).

Kwa ufupi ni kuwa object ni matokeo ya applied forces mfano katika Sayansi ya kuzaliana/reproduction bila ya kutumia nguvu/energy hakuna chochote chaweza fanyika.
 
Sijakuuliza habari za Asili inayopenda ama laa, kwanini Unakwepa? Ninachotaka uniambie kama unatambua kuwa ulimwengu umefanyika kwa asili ambayo ni sheria na nguvu.
Mimi sijui ulimwengu umefanyikaje, nataka kuangalia uwezekano wa unachosema, kama ni kitu kinachowezekana kimantiki au hakiwezekani.

Katika kuangalia kama kinawezekana au hakiwezekani, nataka kuijua hiyo asili na nguvu ikoje ili niipime vizuri.

Moja ya kitu kitakachonisaidia kuipima vizuri, ni kujua kama hiyo asili ina upendo au haina.

Ndiyo maana nikakuuliza, hiyo asili ina upendo au haina?

Kwa nini swali hili linakuwa gumu sana kwako kujibu?
 
Nachotaka kujua ni swala hili kama linaweza kuelezeka kisayansi na ni kivipi... hivyo tu.
haswa nalotaka kujua ni je,nguvu ya kufanya hivyo ipo au lah na iwe inaelezeka kisayansi nadhani utakuwa umenielewa mkuu
Wanasayansi wameshindwa kuelezea chanzo cha ulimwengu na vilivyomo,zaidi ya kutoa madai.

Mola huumba kwa kusema "Kuwa",basi kitu kinakuwa.
 
neno linaweza kivipi..?
nazungumzia kuhusu mungu na kisayansi
Usije kupoteza muda hata siku moja ukataka kuelezewa chanzo cha ulimwengu kisayansi,wanasayansi wanatumia dhana.

Pia kuna vitu vingine kwa kutumi akili na milango ya fahamu peke yake huwezi kuvidiriki katu.

Hapa inafanya kazi ni IMANI.
 
Mpo salama waungwana?

Swali hili ningependa haswa kulipeleka katika pande mbili (2) kwenye sayansi na wanaoamini uwepo wa Mungu.

Katika sayansi ningependa kuhoji hivi je, ni kivipi nguvu inaweza kutengeneza/kutokeza object?

Katika upande wa Waumini wa Mungu naomba kuhoji hivi
kama ilivyoandika na vitabu vyake kwamba kwa kutumia uweza wake ama nguvu zake Mungu aliumba kila kitu. Swali hapa ni je, ni kivipi nguvu hiyo ya Mungu iliweza kuumba/kutokeza/kuunda objects kama dunia,nyota n.k?

Ni hivyo tu

Kisayansi,

Nguvu au force hutumika kushikilia elements ndogo ndogo kwa pamoja ili kutengeneza vitu.Kwa mfano, kupitia hesabu Ya sayari Ya Sir.Isaaac Newton Tunajua kwamba, sayari zilitengenezwa kwa kuvutwa kwa vipande vidogo vidogo vya gas, katika nguvu kubwa Ya presha na kugeuka Kuwa maada yabisi (solid) kutoka kwenye gesi. Nguvu kama Ya gravity, hutumika kushikilia hivi vitu kwa ziada, mfano ni mifumo yetu Ya sayari na mzunguko wake wa jua.

Mfano rahisi ni wa maji, maji hutengenezwa na matone madogo kwa pamoja, ndani ya Kila tone kuna molecule za maji mambazo hutengenezwa kwa nguvu inayoishikilia element Ya Oksijeni na Haidrojeni kwa pamoja, ndani ya haidrojeni (au Oksijeni) kuna nguvu inayoshikilia element Nyingine ndogo zaidi (protons, neutrons na electron) Hivyo hivyo mpaka chembe Ya mwisho. Ndio maana kila element hapa duniani inaweza kuvunjwa vunjwa Kisayansi na kuwa kitu kingine kwa sababu wanasayansi simply hutoa ile nguvu hapo katikati. Mfano mwingine ni kama utengenezaji wa Almasi kupitia bila kuchimba (kupitia maabara).

Mfano mwingine ni mvuke wa maji (ambao ni gesi) unaweza kubadilishwa kuna yabisi (solid) au barafu moja kwa moja bila kua kimiminika (liquid) kwanza kama tulivyozoea. Njia ambayo hutumika ni kuweka nguvu Ya mgandamizo (pressure) kubwa.

Rejea Hapa:How much pressure is needed to force a gas into a solid? - Quora

NB: kwa Mungu ni kwa kupitia Imani. yakubidi uamini kwanza kwamba yupo yule aliyekua mkuu juu yetu, alafu kisha ukubali kwamba mpango mzima wa maisha na vitu vyake vimetengenezwa na huyo mwenye akili zaidi yetu mwanzo na mwisho wa kila kitu ameumba yeye...., uthibitisho ni mgumu kwa sababu ni suala la Imani sio vitu vinavyoonekana. Lakini labda jiulize, nguvu (force) ilizaliwaje hapo mwanzo?
 
Wanasayansi wameshindwa kuelezea chanzo cha ulimwengu na vilivyomo,zaidi ya kutoa madai.

Mola huumba kwa kusema "Kuwa",basi kitu kinakuwa.
inawezekanaje kwa kusema tu kitu kinakuwa..? hebu fikiri hapa kwamba alisema kuwepo na dunia basi ikawepo ni kivipi..?
 
Kisayansi-Nguvu inaweza kutengeneza object
(Ukisoma vizuri theories za kina Newton, Einstein na wengineo kama kina Faraday n.k).

Kiimani - Mfano pale Yesu Kristo alipotembea juu ya maji,Nabii Musa alipopiga fimbo chini ikageuka nyoka n.k).

Safari ya Mtumie Mohamed S. W aliposafiri kwa siku moja kwenda kwenye mbingu ya mbali kabisa (hapa wenzetu waislamu wanaweza elezea vizuri).

Kwa ufupi ni kuwa object ni matokeo ya applied forces mfano katika Sayansi ya kuzaliana/reproduction bila ya kutumia nguvu/energy hakuna chochote chaweza fanyika.
Kutembea juu ya maji nguvu imeundaje object..? vilevile na kupaa kwa mtume nguvu imeundaje..? object
 
Usije kupoteza muda hata siku moja ukataka kuelezewa chanzo cha ulimwengu kisayansi,wanasayansi wanatumia dhana.

Pia kuna vitu vingine kwa kutumi akili na milango ya fahamu peke yake huwezi kuvidiriki katu.

Hapa inafanya kazi ni IMANI.
Vipi siku sayansi ikija na majibu ya mwanzo wa ulimwengu na uthibitisho wake..?

kama kuna vitu huwezi kuvidiriki na akili wala milango ya fahamu we umevidiriki vipi kuwa vipo..?
 
oel200e
mkuu asante kwa udadavuzi wako lkn kama wewe unaamini ktk Mungu kwanini usinipe majibu tu..?
 
Energy can neither be created nor destroyed but can be transformed from one form to another
Where was the first place of the energy source we all know the sources of energies come from already existed substances like Sun, water fall, gas deposit, petroleum deposit (fossils), geothermal, mechanics, chemicals, and so forth.

From where all these sources of energy formed?
 
Back
Top Bottom