Nguvu kubwa inayotumiwa na Polisi kuwadhibiti BAWACHA bila mafanikio ni kuipaisha taasisi hiyo

Bawacha Jeshi la wanawake la tanzania
 
Poverty mentality
 
Polisi msiwalaumu wao wanapewa amri na hawawezi kukataa mana wao ni watumwa wa watawala. Walisha wamanipulate vya kutosha. Angalia makazi ya polisi halafu linganisha na makazi ya watawala. Katika nchi zetu za kiafrika na hasa Tanzania kada za ualimu,upolisi and the likes ni kazi za watoto wa masikini ili wawatumikie watawala kwa manufaa yao. Polisi nao wanaujua ukweli huu mchungu hata hivyo that's their only option to survive.
 
Nilipoisikia tu ile kauli ya kiongozi wa Polisi, nilijiuliza sana, kama kiongozi wa polisi amekosa ufahamu kiasi hicho, je hao polisi wa kawaida wapoje?

Mahali popote ambapo panahitaji kutumika akili, polisi huonekana watupu kabisa!!
 
Kwa maana Yako hata hao wabunge, rais, madiwani na wanasiasa wote nao waache siasa wakisubiri huo muda? Mbona Kama hujafikiri sawa?
 
Vipi kile Cha kisukuma kina hoja siku hizi au Bado mnaomboleza? Hivi ukabila una faida Gani kwako na wote wanaouhusudu na kuusujujia Kama wewe?
Hiki chama cha WACHAGA kina fujo sana na hakina HOJA.
 
Hebu angalia akili hii mbovu!

Kwa hiyo huko bungeni wakatunge sheria ya kuruhusu watu kufanya mazoezi mara moja kwa mwaka, au mwaka mmoja kabla ya uchaguzi?

Na husemi, kabla ya marekebisho hayo unayoyataka wewe, ni sheria ipi inayotumiwa na polisi sasa hivi kukanyaga haki za wengine.
 
Sometime yes. Maana wanatumwa na kazi zao ukitumwa huulizi ni kutekeleza tu
 
Mungu Ibariki BAWACHA.. Mungu ibariki CHADEMA..!
 
Vipi kile Cha kisukuma kina hoja siku hizi au Bado mnaomboleza? Hivi ukabila una faida Gani kwako na wote wanaouhusudu na kuusujujia Kama wewe?
Faida za ni kwamba hatuwezi kuwapa nchi wabaguzi kama nyie.Na mwaka huu mtaishia jela
 
Mambo yapi ya kitaifa yameingiliwa na shughuli za kisiasa ?

Neno "taifa" ni la kisiasa mambo yapi ya kitaifa hayahusiani na siasa ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…