Nguvu nilizowekeza kwenye ujana wangu nakula Matunda yake sasa

Asante kwa ushauri tumeupokea.
 
Hakuna mwenye amezaliwa mwaka huo anaandika hayo mavitu ,, wewe Ni kijana mmoja tu jobless
 
Mzee ungeelekeza vizuri namna ulivyoanza kuwekeza na sehemu ulizowekeza uzi wako ungekuwa na manufaa sana Kwa wasomaji, ila Kwa style hii uliyokuja nayo uzi wako umejaa majigambo na mipasho.

Uwe na j.pili njema nawe pia
Afafanue zaidi
 
Ahsante kwa ushauri mzee wangu.

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
Big tea.
 
Eeh sasa imagine ulipwe zaidi ya million 1 kwa mwezi kwa miaka 35. Hata uwe mtu wa bia kila siku lazma utastaafu na hela tu.

Sisi hata hizo fursa za kazi hatuna sikuhizi. Unajikuta unaenda kufanya kitu ambacho kila mtu anafanya sababu ya easy entry.
Umeongea kwa hisia kali sana mkuu.
 
Kumbe humu JF kuna wazee wa miaka 70?
 
Nina wasiwasi wewe ni ye34nbe mzee wa 1953 aandike thread ndefu hivi ya nini?
 
Ahsante kwa ukumbusho.

Hv juzi kati nimekutana na mstaafu wa 2019 aliyekuwa anapata marupurupu na mshahara mnono tu. Alichoniambia, dah, kilitisha na kinanifanya nisipuuze mada hii:-

'Heshimu kazi na mshahara wako hata kama ni tshs 100,000/=. Ifanyie malengo na uyasimamie barabara'
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…