Tsh
JF-Expert Member
- Aug 26, 2021
- 17,022
- 36,936
Well, ila kaongea point. Uzee/ Ujana wake sio wa kuujali kivile.Mzee gani unaandika habari unaweka mambo ya mkoa X, hii ni code ya vijana wadogo. Wazee wana codes zao sio mambo ya X na Y.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Well, ila kaongea point. Uzee/ Ujana wake sio wa kuujali kivile.Mzee gani unaandika habari unaweka mambo ya mkoa X, hii ni code ya vijana wadogo. Wazee wana codes zao sio mambo ya X na Y.
Salaam kwenu wote,
Mimi ni mgeni humu ila ningependa kushare kisa kidogo cha maisha ya ujana wangu. Nimezaliwa 1953.
Kusema kweli mwenyezi Mungu alinijalia sana mimi, kwenye elimu ya darasani nilikuwa vizuri sana nikafanikiwa kumaliza chuo mwaka X kipindi hicho. Bahati nzuri nikapata kazi yangu kwenye kampuni Y, nilifanya kwa miaka 3 kabla ya kuhamishwa kupelekwa kwenye kituo kingine. ambapo nilipata mshahara na marupu marupu matamu kweli. Nilitumikia hiyo nafasi kwa miaka 35.
Mpaka nilivyostaafu rasmi 2016, namshukuru Mungu sana kwa kunijaalia akili ya kuona mbele, na kuweza kupanga hatma ya maisha yangu.
Niliweza kujiingiza kwenye kuwekeza kwenye vitega uchumi mbalimbali ambavyo ndo vinanilea sasa hivi.
Nawashauri vijana mtakaosoma hiki kisa tafadhali tafadhali tumieni muda wenu vizuri, msije mkajuta baadae mkiona mzee ni masikini jua haikuja hivi hivi, likewise mkiona mzee ni tajiri jua ni tu watu walijitoa haswa haswa,
Zingatia: Tumieni ujana wenu vizuri, narudia tena tumieni ujana wenu
Vizuri, narudia tumieni ujana wenu vizuri. Msije Mkajuta kwenye uzee wenu, maana muda utakuwa umekutupa mkono na ndipo maradhi yatakavyoanza kukushambulia.
Kwangu mimi navyoona umri wa kuweka nguvu ni (25-55) hapa ndo inabidi ufanye uwekezaji mkubwa na uchakarike sana.
Lakini kumbukeni pia kumtanguliza Mungu kwenye kila mfanyacho ili azidi kuwabariki. Mimi namshukuru Mungu wanangu 4 wapo vizuri kila mtu yupo kwao na famili zao. Mimi nalea wajukuu tu wakija likizo. Hivyo ni faraja sana kwangu.
Namshukuru Mungu kwa kunijaalia uzee mzuri, japo haikuwa rahisi mpaka kufikia hapa nilipo.
Muwe na Jumapili njema 👐👐👐👐👐
Hiyo ni pointless maana anaandika vitu ambavyo hajapitia yeye. Asubiri mda wake utafika. Sio sasaWell, ila kaongea point. Uzee/ Ujana wake sio wa kuujali kivile.
Unamaanisha kuwekeza ujanani kwa maandalizi ya uzee ni pointless sababu aliyezungumza sio mzee?Hiyo ni pointless maana anaandika vitu ambavyo hajapitia yeye. Asubiri mda wake utafika. Sio sasa
Simaabishi hivyo. Namaanisha huyu mtoa mada hajafikia huo uzee anaojinasibu nao hapa. Asubiri mda wake. Hii ndio pointless yenyewe.Unamaanisha kuwekeza ujanani kwa maandalizi ya uzee ni pointless sababu aliyezungumza sio mzee?
Nashukuru sana. Mi pia nina imani nafuata nyayo zako.Salaam kwenu wote,
Mimi ni mgeni humu ila ningependa kushare kisa kidogo cha maisha ya ujana wangu. Nimezaliwa 1953.
Kusema kweli mwenyezi Mungu alinijalia sana mimi, kwenye elimu ya darasani nilikuwa vizuri sana nikafanikiwa kumaliza chuo mwaka X kipindi hicho. Bahati nzuri nikapata kazi yangu kwenye kampuni Y, nilifanya kwa miaka 3 kabla ya kuhamishwa kupelekwa kwenye kituo kingine. ambapo nilipata mshahara na marupu marupu matamu kweli. Nilitumikia hiyo nafasi kwa miaka 35.
Mpaka nilivyostaafu rasmi 2016, namshukuru Mungu sana kwa kunijaalia akili ya kuona mbele, na kuweza kupanga hatma ya maisha yangu.
Niliweza kujiingiza kwenye kuwekeza kwenye vitega uchumi mbalimbali ambavyo ndo vinanilea sasa hivi.
Nawashauri vijana mtakaosoma hiki kisa tafadhali tafadhali tumieni muda wenu vizuri, msije mkajuta baadae mkiona mzee ni masikini jua haikuja hivi hivi, likewise mkiona mzee ni tajiri jua ni tu watu walijitoa haswa haswa,
Zingatia: Tumieni ujana wenu vizuri, narudia tena tumieni ujana wenu
Vizuri, narudia tumieni ujana wenu vizuri. Msije Mkajuta kwenye uzee wenu, maana muda utakuwa umekutupa mkono na ndipo maradhi yatakavyoanza kukushambulia.
Kwangu mimi navyoona umri wa kuweka nguvu ni (25-55) hapa ndo inabidi ufanye uwekezaji mkubwa na uchakarike sana.
Lakini kumbukeni pia kumtanguliza Mungu kwenye kila mfanyacho ili azidi kuwabariki. Mimi namshukuru Mungu wanangu 4 wapo vizuri kila mtu yupo kwao na famili zao. Mimi nalea wajukuu tu wakija likizo. Hivyo ni faraja sana kwangu.
Namshukuru Mungu kwa kunijaalia uzee mzuri, japo haikuwa rahisi mpaka kufikia hapa nilipo.
Muwe na Jumapili njema 👐👐👐👐👐
Asante Kibabu ila hujafafanua uliwekezaje?,...Salaam kwenu wote,

Fafanua Kibabu au ulifanya ufisadi?😉😉Sitakiwi niweke kila kitu wazi, mkuu
Ila taarifa imekufikia. Na ni kweli nimeficha vingi ila huwezi kujua A to Z ya mafanikio ya mtu
Babu haendi mbinguni😂😂Nyie wazee wa kipindi hicho mlikuwa mafisadi tu. Kwanza hutuambii ulifanya nini unatuletea mbwembwe za kulea wajukuu.
Huu uandishi ni kama wa jamaa mmoja hivi aliyepigwa ban😉😉. Coz Yule jamaa mda wote alikuwa anajisifu tu.,..Salaam kwenu wote,
Mimi ni mgeni humu ila ningependa kushare kisa kidogo cha maisha ya ujana wangu. Nimezaliwa 1953.
Kusema kweli mwenyezi Mungu alinijalia sana mimi, kwenye elimu ya darasani nilikuwa vizuri sana nikafanikiwa kumaliza chuo mwaka X kipindi hicho. Bahati nzuri nikapata kazi yangu kwenye kampuni Y, nilifanya kwa miaka 3 kabla ya kuhamishwa kupelekwa kwenye kituo kingine. ambapo nilipata mshahara na marupu marupu matamu kweli. Nilitumikia hiyo nafasi kwa miaka 35.
Mpaka nilivyostaafu rasmi 2016, namshukuru Mungu sana kwa kunijaalia akili ya kuona mbele, na kuweza kupanga hatma ya maisha yangu.
Niliweza kujiingiza kwenye kuwekeza kwenye vitega uchumi mbalimbali ambavyo ndo vinanilea sasa hivi.
Nawashauri vijana mtakaosoma hiki kisa tafadhali tafadhali tumieni muda wenu vizuri, msije mkajuta baadae mkiona mzee ni masikini jua haikuja hivi hivi, likewise mkiona mzee ni tajiri jua ni tu watu walijitoa haswa haswa,
Zingatia: Tumieni ujana wenu vizuri, narudia tena tumieni ujana wenu
Vizuri, narudia tumieni ujana wenu vizuri. Msije Mkajuta kwenye uzee wenu, maana muda utakuwa umekutupa mkono na ndipo maradhi yatakavyoanza kukushambulia.
Kwangu mimi navyoona umri wa kuweka nguvu ni (25-55) hapa ndo inabidi ufanye uwekezaji mkubwa na uchakarike sana.
Lakini kumbukeni pia kumtanguliza Mungu kwenye kila mfanyacho ili azidi kuwabariki. Mimi namshukuru Mungu wanangu 4 wapo vizuri kila mtu yupo kwao na famili zao. Mimi nalea wajukuu tu wakija likizo. Hivyo ni faraja sana kwangu.
Namshukuru Mungu kwa kunijaalia uzee mzuri, japo haikuwa rahisi mpaka kufikia hapa nilipo.
Muwe na Jumapili njema 👐👐👐👐👐
Sawa mkuu umewekeza kwenye Nini hasaSalaam kwenu wote,

Muwe na Jumapili njema [emoji114][emoji114][emoji114][emoji114][emoji114]
Vitu gani unashauri mtu afanye akiwa kwenye 20's, mi npo mwanzon kbs mwa 20Hakika hakuna kitu kinakuja hiv hiv.You must hustle..u must inject ur creativity, your money , your time and your strength.Kirahia rahis tuu et umeweka mikeka ya ku bet ndio ukatoboe !?sio kwel.
Japo sio mara zote ila mara nyingi maisha lazima yakuumize tuu ili kuvuna mafanikio.
Na kukata tamaa ni kitu rahis sana maana kuna time kila kitu unafanya hakitembei!.
Ahsante kutukumbusha.
Sometimea huwa na wish ufahamu huu nilio nao sasa at mid 30's ningeupata at mid 20's aisee ningekua mbali sana.
Sema ndio hivyo kila jambo na wakat wake...kuna time maisha yanangoja kwanza uwe na busara hata kama akil na juhud unazo tayar.
Shukran mjukuu, maisha ni kuchagua tuAsante grandpa.
Mungu akupe umri mrefu ufaidi jasho lako.
Dream yangu nikustaafu nikifika 45yrs nikiwa na hazina ya vitega uchumi.
Kuhusu hawa wajukuu zako wengine sijui kama watakuelewa coz akili zao zote ziko kwa mambo yetu yaleee