Nguvu nilizowekeza kwenye ujana wangu nakula Matunda yake sasa

Nguvu nilizowekeza kwenye ujana wangu nakula Matunda yake sasa

Mzee gani uliyesoma elimu ya mkoloni na huwezi kujielezea vizuri ukaeleweka!

Au ni kijana wa dot com umekuja kwa staili ya kujiita mzee ili upate attention?

Nakubaliana na wewe kwenye kuwekeza.
Sitakiwi niweke kila kitu wazi, mkuu

Ila taarifa imekufikia. Na ni kweli nimeficha vingi ila huwezi kujua A to Z ya mafanikio ya mtu
 
Hivi mkuu na wewe umeamini kabisa hiyo chai kwamba mzee wa miaka70 anakuja kuandika hayo, kuna haja gani adanganye si aseme tu anatoa ushauri
Hapana mkurugenzi. Natambua fika huyu ni motivesheni spika! Anawakumbusha tu vijana kuwekeza.

Na ofcourse alichokisema ni sahihi. Ukiwekeza katika umri wa ujana, uzee wako unakuwa ni wenye unafuu sana. Yaani huwezi kugeuka kuwa mzigo/tegemezi kwa wengine.
 
Hapo mekuelewa mkuu. Ila mkuu ulisha notice wengi watakusikiliza wakina kama una mafanikio? Japo kaongea ukweli ila aàche uongo wa kuzaliwa 1953
 
Aisee humu wazee tupo bhana! Tena wa jinsia zote! Tuko wengi kweli kweli! Hebu fikiria tu kuna watu wapo humu tangu mwaka 2008! Wakati huo ulikuwa na umri wa miaka mingapi?
Hilo halithibitishi kwamba umezaliwa 1953 na kucomment kutwa nzima jf🤣🤣huyo jamaa ana matatizo tu binafsi. Ila kaongea point
Tunachokataa ni UONGO
 
Back
Top Bottom