Nguvu nilizowekeza kwenye ujana wangu nakula Matunda yake sasa

Nguvu nilizowekeza kwenye ujana wangu nakula Matunda yake sasa

Shukran mjukuu, [emoji114]
Kubaliana na upinzani humu JF maana wengine tayari wameshachelewa kwa kutokuwa na uwekezaji mzuri kama wewe, pia wengine ni Waathirika wa afya kwa magonjwa ya kisasa na madawa ya kulevya.

Hongera sana Mzee Baba [emoji1666][emoji122]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Hongera Sana kwa ushauri mzuri baba.
Kwa kuongezea ujana ndio unapredict future yako iweje kiuchumi, kiafya n.k.
Afya ni muhimu mno kwenye ustawi wa mengineyo. Vijana wengi hawajali afya zao sijui ni kujisahau au kutokujua na wengi wanajitetea wakisema kufa kupo pape pale (yes sipingi) ila ni muhimu kuzijali afya zetu
 
Shukran mkuu, nafahamu hili ni jukwaa huru, hivyo kila mtu ana uhuru wa kutoa mawazo yao,

Mimi sina shida na hilo maana maneno hayani punguzii chochote kile,

Atakayeona ni uongo sawa atakayeona ni kweli sawa pia
 
Hongera Sana kwa ushauri mzuri baba.
Kwa kuongezea ujana ndio unapredict future yako iweje kiuchumi, kiafya n.k.
Afya ni muhimu mno kwenye ustawi wa mengineyo. Vijana wengi hawajali afya zao sijui ni kujisahau au kutokujua na wengi wanajitetea wakisema kufa kupo pape pale (yes sipingi) ila ni muhimu kuzijali afya zetu
Kabisa, na mimi nilizingatia pia nisi nenepe

Maana hamnaga unene wenye afya na namshukuru Mungu afya yangu ipo vizuri kabisa ila kuumwa kwa hapa na pale kumo pia

Shukran mkuu 👐
 
Salaam kwenu wote,

Mimi ni mgeni humu ila ningependa kushare kisa kidogo cha maisha ya ujana wangu,

Nimezaliwa 1953

Kusema kweli mwenyezi Mungu alinijalia sana mimi, kwenye elimu ya darasani nilikuwa vizuri sana nikafanikiwa kumaliza chuo mwaka X kipindi hicho

Bahati nzuri nikapata kazi yangu kwenye kampuni Y, nili fanya kwa miaka 3 kabla ya kuhamishwa kupelekwa kwenye kituo kingine

Ambapo nilipata mshahara na marupu marupu matamu kweli,

Nilitumikia hiyo nafasi kwa miaka 35

Mpaka nilivyostaafu rasmi 2016, namshukuru Mungu sana kwa kunijaalia akili ya kuona mbele, na kuweza kupanga hatma ya maisha yangu,

Niliweza kujiingiza kwenye kuwekeza kwenye vitega uchumi, mbalimbali

Ambavyo ndo vinanilea sasa hivi

nawashaurini vijana mtakaosoma hiki kisa tafadhali tafadhali tumieni muda wenu vizuri, msije mkajuta baadae mkiona mzee ni masikini jua haikuja hivi hivi, likewise mkiona mzee ni tajiri jua ni tu watu walijitoa haswa haswa,

Zingatia:
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]

-TUMIENI UJANA WENU VIZURI,
-NARUDIA TENA TUMIENI UJANA WENU
VIZURI,
-NARUDIA TUMIENI UJANA WENU VIZURI

MSIJE
MKAJUTA KWENYE UZEE WENU, MAANA MUDA UTAKUWA UMEKUTUPA MKONO NA NDIPO MARADHI YATAKAVYOANZA KUKUSHAMBULIA,

Kwangu mimi navyoona umri wa kuweka nguvu ni (25-55) hapa ndo inabidi ufanye uwekezaji mkubwa na uchakarike sana

Lakini kumbukeni pia kumtanguliza Mungu kwenye kila mfanyacho, ili azidi kuwabariki,

Mimi namshukuru Mungu wanangu 4 wapo vizuri kila mtu yupo kwao NA FAMILIA ZAO

Mimi nalea wajukuu tu wakija likizo,

Hivyo ni faraja sana kwangu,

Namshukuru Mungu kwa kunijaalia uzee mzuri, japo haikuwa rahisi mpaka kufikia hapa nilipo,

Muwe na jpili njema [emoji114][emoji114][emoji114][emoji114][emoji114]
..Ulizaliwa 1953, ilitakiwa Ustaafu Kwa LAZIMA Kwa Mujibu wa Sheria, Mwaka 2013 !!
Vipi Ukastaafu 2016, Miaka 3 baadaye! Vipi, ulifoji ? Tuanzie Hapo kwanza....
 
Back
Top Bottom