Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli kabisa na kwa kipindi hicho kazi ni uhakika sio kama saiv mtu anasoma na kupata kazi ni kazi.Mawazo yako ni mazuri, unaweza kuwa na mawazo mazuri lakini huna mtaji,huna KAZI nzuri, wewe ulibahatika kupata KAZI nzuri yenye mshahara mnono mshukuru Mungu
Ubarikiwe sana kwa kutushirikishaSalaam kwenu wote,
Mimi ni mgeni humu ila ningependa kushare kisa kidogo cha maisha ya ujana wangu,
Nimezaliwa 1953
Kusema kweli mwenyezi Mungu alinijalia sana mimi, kwenye elimu ya darasani nilikuwa vizuri sana nikafanikiwa kumaliza chuo mwaka X kipindi hicho
Bahati nzuri nikapata kazi yangu kwenye kampuni Y, nili fanya kwa miaka 3 kabla ya kuhamishwa kupelekwa kwenye kituo kingine
Ambapo nilipata mshahara na marupu marupu matamu kweli,
Nilitumikia hiyo nafasi kwa miaka 35
Mpaka nilivyostaafu rasmi 2016, namshukuru Mungu sana kwa kunijaalia akili ya kuona mbele, na kuweza kupanga hatma ya maisha yangu,
Niliweza kujiingiza kwenye kuwekeza kwenye vitega uchumi, mbalimbali
Ambavyo ndo vinanilea sasa hivi
nawashaurini vijana mtakaosoma hiki kisa tafadhali tafadhali tumieni muda wenu vizuri, msije mkajuta baadae mkiona mzee ni masikini jua haikuja hivi hivi, likewise mkiona mzee ni tajiri jua ni tu watu walijitoa haswa haswa,
Zingatia:
👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇
-TUMIENI UJANA WENU VIZURI,
-NARUDIA TENA TUMIENI UJANA WENU
VIZURI,
-NARUDIA TUMIENI UJANA WENU VIZURI
MSIJE
MKAJUTA KWENYE UZEE WENU, MAANA MUDA UTAKUWA UMEKUTUPA MKONO NA NDIPO MARADHI YATAKAVYOANZA KUKUSHAMBULIA,
Kwangu mimi navyoona umri wa kuweka nguvu ni (25-55) hapa ndo inabidi ufanye uwekezaji mkubwa na uchakarike sana
Lakini kumbukeni pia kumtanguliza Mungu kwenye kila mfanyacho, ili azidi kuwabariki,
Mimi namshukuru Mungu wanangu 4 wapo vizuri kila mtu yupo kwao NA FAMILIA ZAO
Mimi nalea wajukuu tu wakija likizo,
Hivyo ni faraja sana kwangu,
Namshukuru Mungu kwa kunijaalia uzee mzuri, japo haikuwa rahisi mpaka kufikia hapa nilipo,
Muwe na jpili njema 👐👐👐👐👐
Huyu mzee yuko kwenye uvuvi 🤣🤣Mzee ungeelekeza vizuri namna ulivyoanza kuwekeza na sehemu ulizowekeza uzi wako ungekuwa na manufaa sana Kwa wasomaji, ila Kwa style hii uliyokuja nayo uzi wako umejaa majigambo na mipasho.
Uwe na j.pili njema nawe pia
Ni Yule mtu amezoea kazi Tu yeye na kazini nje ya hapo sikuwahi kumuona na shamba wala kitega uchumi Chochote [emoji22]Kwann mkuu, kwani hakujipanga au nn shida
Duuh hata savings hana kabisa,Ni Yule mtu amezoea kazi Tu yeye na kazini nje ya hapo sikuwahi kumuona na shamba wala kitega uchumi Chochote [emoji22]
Sent from my Nokia C2 using JamiiForums mobile app
Salaam kwenu wote,
Mimi ni mgeni humu ila ningependa kushare kisa kidogo cha maisha ya ujana wangu,
Nimezaliwa 1953
Kusema kweli mwenyezi Mungu alinijalia sana mimi, kwenye elimu ya darasani nilikuwa vizuri sana nikafanikiwa kumaliza chuo mwaka X kipindi hicho
Bahati nzuri nikapata kazi yangu kwenye kampuni Y, nili fanya kwa miaka 3 kabla ya kuhamishwa kupelekwa kwenye kituo kingine
Ambapo nilipata mshahara na marupu marupu matamu kweli,
Nilitumikia hiyo nafasi kwa miaka 35
Mpaka nilivyostaafu rasmi 2016, namshukuru Mungu sana kwa kunijaalia akili ya kuona mbele, na kuweza kupanga hatma ya maisha yangu,
Niliweza kujiingiza kwenye kuwekeza kwenye vitega uchumi, mbalimbali
Ambavyo ndo vinanilea sasa hivi
nawashaurini vijana mtakaosoma hiki kisa tafadhali tafadhali tumieni muda wenu vizuri, msije mkajuta baadae mkiona mzee ni masikini jua haikuja hivi hivi, likewise mkiona mzee ni tajiri jua ni tu watu walijitoa haswa haswa,
Zingatia:
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
-TUMIENI UJANA WENU VIZURI,
-NARUDIA TENA TUMIENI UJANA WENU
VIZURI,
-NARUDIA TUMIENI UJANA WENU VIZURI
MSIJE
MKAJUTA KWENYE UZEE WENU, MAANA MUDA UTAKUWA UMEKUTUPA MKONO NA NDIPO MARADHI YATAKAVYOANZA KUKUSHAMBULIA,
Kwangu mimi navyoona umri wa kuweka nguvu ni (25-55) hapa ndo inabidi ufanye uwekezaji mkubwa na uchakarike sana
Lakini kumbukeni pia kumtanguliza Mungu kwenye kila mfanyacho, ili azidi kuwabariki,
Mimi namshukuru Mungu wanangu 4 wapo vizuri kila mtu yupo kwao NA FAMILIA ZAO
Mimi nalea wajukuu tu wakija likizo,
Hivyo ni faraja sana kwangu,
Namshukuru Mungu kwa kunijaalia uzee mzuri, japo haikuwa rahisi mpaka kufikia hapa nilipo,
Muwe na jpili njema [emoji114][emoji114][emoji114][emoji114][emoji114]
Asante kwa maoni yako,Ushauri mzuri sana lakini bandiko lako linaacha maswali kichwani.
Kwanini ufiche mwaka wa kumaliza chuo mpaka uandike mwaka x?
Umesema unashare kisa jinsi ulivyofanikiwa kwanini umeshindwa kufafanunua miradi uliyowekeza? Ina ukakasi? Naamini kabisa lengo la kushare story yako ya mafanikio ilikuwa kutoa hamasa kwa vijana, fafanua miradi yako vijana wahamasike.
Mtu aliyesoma elimu ya mkoloni hana uandishi wa kisasa mfano matumizi ya emojis, matumizi ya x, itoshe tu kusema wewe ni kijana japo umetoa ushauri mzuri kwa vijana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe babu wewe ni jambazi?Ndiyo, ila kuna forgery niliifanya mkuu,
Kwenye cheti kinasoma mwaka mwingine
Huyu mzee kwakweli, sijui anataka waonekane vijana hawana adabu!Mzee ungeelekeza vizuri namna ulivyoanza kuwekeza na sehemu ulizowekeza uzi wako ungekuwa na manufaa sana Kwa wasomaji, ila Kwa style hii uliyokuja nayo uzi wako umejaa majigambo na mipasho.
Uwe na j.pili njema nawe pia
Uwekezaji wowote ule una probability ya (loose na gain)Huyu mzee kwakweli, sijui anataka waonekane vijana hawana adabu!
Sasa ngoja nimuulize mzee, je uwekezaji gani ni wa uhakika ambao kijana akiuwekeza ataendelea kula faida maisha yake yote?
Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
Hamna mkalifu duniani hapa bora mimi nili forge wengine waliochota pesa za taasisi je?
Mkuu acha tu, kila mtu ana pungufu lake
Ni kweli ila kutenda dhambi huku ukijua kabisa na huenda ukawa unawaumiza wengine ni dhambi kubwa sana.Hamna mkalifu duniani hapa bora mimi nili forge wengine waliochota pesa za taasisi je?
Mkuu acha tu, kila mtu ana pungufu lake
Sikuwahi kuiba, ila tu niliforge cheti basiNi kweli ila kutenda dhambi huku ukijua kabisa na huenda ukawa unawaumiza wengine ni dhambi kubwa sana.
Mara nyingi wezi mafisadi huwa wanawacheka wasio wezi kwa kuwa hawajafanya maendeleo makubwa kwa hela za wizi na huwakejeli kuwa walikuwa wazembe.
Wewe upo wapi?
Niko na digest nasaha za mzee wetu.Asante baba nimepokea.!!