steveachi
JF-Expert Member
- Nov 7, 2011
- 10,643
- 12,247
Sawa babu yangu,basi usisahau kutubu kwa Mungu wako kwani hakuna dhambi ndogoSikuwahi kuiba, ila tu niliforge cheti basi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa babu yangu,basi usisahau kutubu kwa Mungu wako kwani hakuna dhambi ndogoSikuwahi kuiba, ila tu niliforge cheti basi
Ulifanyanje ukawekeza kazi uliojiriwa mshahara ulikuwa sh ngap na baada ya kusitafu kuinua mgogo ilipewa kiasi gani baada ya kupewa ukiwekeza kwenye nnSalaam kwenu wote,
Mimi ni mgeni humu ila ningependa kushare kisa kidogo cha maisha ya ujana wangu,
Nimezaliwa 1953
Kusema kweli mwenyezi Mungu alinijalia sana mimi, kwenye elimu ya darasani nilikuwa vizuri sana nikafanikiwa kumaliza chuo mwaka X kipindi hicho
Bahati nzuri nikapata kazi yangu kwenye kampuni Y, nili fanya kwa miaka 3 kabla ya kuhamishwa kupelekwa kwenye kituo kingine
Ambapo nilipata mshahara na marupu marupu matamu kweli,
Nilitumikia hiyo nafasi kwa miaka 35
Mpaka nilivyostaafu rasmi 2016, namshukuru Mungu sana kwa kunijaalia akili ya kuona mbele, na kuweza kupanga hatma ya maisha yangu,
Niliweza kujiingiza kwenye kuwekeza kwenye vitega uchumi, mbalimbali
Ambavyo ndo vinanilea sasa hivi
nawashaurini vijana mtakaosoma hiki kisa tafadhali tafadhali tumieni muda wenu vizuri, msije mkajuta baadae mkiona mzee ni masikini jua haikuja hivi hivi, likewise mkiona mzee ni tajiri jua ni tu watu walijitoa haswa haswa,
Zingatia:
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
-TUMIENI UJANA WENU VIZURI,
-NARUDIA TENA TUMIENI UJANA WENU
VIZURI,
-NARUDIA TUMIENI UJANA WENU VIZURI
MSIJE
MKAJUTA KWENYE UZEE WENU, MAANA MUDA UTAKUWA UMEKUTUPA MKONO NA NDIPO MARADHI YATAKAVYOANZA KUKUSHAMBULIA,
Kwangu mimi navyoona umri wa kuweka nguvu ni (25-55) hapa ndo inabidi ufanye uwekezaji mkubwa na uchakarike sana
Lakini kumbukeni pia kumtanguliza Mungu kwenye kila mfanyacho, ili azidi kuwabariki,
Mimi namshukuru Mungu wanangu 4 wapo vizuri kila mtu yupo kwao NA FAMILIA ZAO
Mimi nalea wajukuu tu wakija likizo,
Hivyo ni faraja sana kwangu,
Namshukuru Mungu kwa kunijaalia uzee mzuri, japo haikuwa rahisi mpaka kufikia hapa nilipo,
Muwe na jpili njema [emoji114][emoji114][emoji114][emoji114][emoji114]
Kalete misifa tuMzee ungeelekeza vizuri namna ulivyoanza kuwekeza na sehemu ulizowekeza uzi wako ungekuwa na manufaa sana Kwa wasomaji, ila Kwa style hii uliyokuja nayo uzi wako umejaa majigambo na mipasho.
Uwe na j.pili njema nawe pia
ChaiSalaam kwenu wote,
Mimi ni mgeni humu ila ningependa kushare kisa kidogo cha maisha ya ujana wangu,
Nimezaliwa 1953
Kusema kweli mwenyezi Mungu alinijalia sana mimi, kwenye elimu ya darasani nilikuwa vizuri sana nikafanikiwa kumaliza chuo mwaka X kipindi hicho
Bahati nzuri nikapata kazi yangu kwenye kampuni Y, nili fanya kwa miaka 3 kabla ya kuhamishwa kupelekwa kwenye kituo kingine
Ambapo nilipata mshahara na marupu marupu matamu kweli,
Nilitumikia hiyo nafasi kwa miaka 35
Mpaka nilivyostaafu rasmi 2016, namshukuru Mungu sana kwa kunijaalia akili ya kuona mbele, na kuweza kupanga hatma ya maisha yangu,
Niliweza kujiingiza kwenye kuwekeza kwenye vitega uchumi, mbalimbali
Ambavyo ndo vinanilea sasa hivi
nawashaurini vijana mtakaosoma hiki kisa tafadhali tafadhali tumieni muda wenu vizuri, msije mkajuta baadae mkiona mzee ni masikini jua haikuja hivi hivi, likewise mkiona mzee ni tajiri jua ni tu watu walijitoa haswa haswa,
Zingatia:
👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇
-TUMIENI UJANA WENU VIZURI,
-NARUDIA TENA TUMIENI UJANA WENU
VIZURI,
-NARUDIA TUMIENI UJANA WENU VIZURI
MSIJE
MKAJUTA KWENYE UZEE WENU, MAANA MUDA UTAKUWA UMEKUTUPA MKONO NA NDIPO MARADHI YATAKAVYOANZA KUKUSHAMBULIA,
Kwangu mimi navyoona umri wa kuweka nguvu ni (25-55) hapa ndo inabidi ufanye uwekezaji mkubwa na uchakarike sana
Lakini kumbukeni pia kumtanguliza Mungu kwenye kila mfanyacho, ili azidi kuwabariki,
Mimi namshukuru Mungu wanangu 4 wapo vizuri kila mtu yupo kwao NA FAMILIA ZAO
Mimi nalea wajukuu tu wakija likizo,
Hivyo ni faraja sana kwangu,
Namshukuru Mungu kwa kunijaalia uzee mzuri, japo haikuwa rahisi mpaka kufikia hapa nilipo,
Muwe na jpili njema 👐👐👐👐👐
Mkuu Bush Dokta, ni kweli yawezekana ikawa chai👍 lakini ushauri uliotolewa na huyo mpishi wa chai ndio lengo kuu la kujifunzaChai
@Peterrabbit🪓🪓🪓🪓🪓🪓🪓🪓🪓🪓🪓🪓🪓🪓🪓🪓🪓🪓🪓🪓🪓🪓🪓🪓🪓🪓🪓🪓🪓🪓🪓🪓🪓🪓🪓🪓🪓🪓🪓🪓🪓🪓🪓🪓🪓🪓🪓🪓🪓Lovie Lady, asante kwa kuniita.
Ushauri wa babu ni mzuri sana, inatupasa kuufanyia kazi hasa kwa wale ambao bado wanajitafuta. Kwa upande wangu nilisha jipata miaka 10 iliyopita, kwa sasa naongezea tu. 😅
Kama kijana ukifanikiwa ku invest kabla hujafika 45 ni vizuri zaidi. Hutakiwi kupambana tu kila siku bila kuoshi vizuri, wakati unapambana kumbuka kuishi maisha mazuri pia. Wengi wetu tunapotezwa na ule msemo wa ' chumia juani ulie kivulini'. Unakuta mtu anapambana kuwekeza tu akiamini kuwa akizeeka ndipo aannze kutumia pesa zake. Lakini anasahau kuwa maisha ya uzee ni mafupi sana kuliko ya ujana.
Lovie Lady najua lengo lako kuniita hapa ni kwa vile unahisi napinga mwanamke kuwa na pesa, niliposema "A good woman wants your love, time, and attention. Not your money." haikuwa na maana tusiwapa pesa. Maana yake ni kwamba Mwanaume akikupenda, akakupa muda wake na akakusikiliza ina maanisha kuwa umeshapata pesa yake.
Mwanaume mwenye sifa hizo hapo huwa haombwi pesa, anatoa pesa kwa mke wake. Mnapokosea ni pale mnapoonyesha kuvutiwa zaidi na pesa kuliko mwenye pesa.
Ushauri wangu
Kama Mwanaume wako ana pesa, usimuombe, mpende na umvutie. Ukifanya hivyo atakupenda, atakupa muda wake na atakusikiliza, kwa kufanya hivyo tayari unamiliki pesa zake. (hapa Angalia uwezo wake wa kipato)
Lovie Lady mimi siombwi hela na mwanamke wangu maana najua ili aendelee kunivutia lazima nimhudumie vizuri. Amani ya moyo wa mwanamke ni pesa sio mapenzi hilo nalitambua. 👍
Lovie Lady wealth is not guaranteed, it is a result of a combination of circumstances most of which are out of our control.... chamsingi furaha usitegemee kutajirika you will be disappointedKIBABU_53 Sema enzi zenu fursa zilikua nje nje😊
Ahsante sana kwa nasaha zenye kuleta ari ya mapambano na hongera sana 🤝🤝🤝kuyaishi maisha ya ndoto zako Babu💪💪💪🙏🙏🙏
Peterrabbit Pita hapa yaan hii kitu 😙😙😙💰💰💰💰💰💰💰💰💰💰💰💰💰💰💰💰💰💰💰💰💰💰💰💰🤣🤣🤣👋
mshamba_hachekwi zingatia nasaha za Babu🙏🙏🙏
NAMBA MOJA AJAYE NCHINI Pole sana Mkuu😔umeoa Shetani..kua makini sana uyo Mkeo kwa sifa zake izo kazi unayo 🤦♀️atakuua ili awe mrithi kamili wa Mali zakoMzee hongera sana!!
Iliwezekana kwako coz enzi hizo mlioa wake wa kweli wenye maadili ya kweli!
Sisi wa kwetu ni bora ulewe na uwe MALAYA kuliko KUWEKEZA mapesa mengi!
Ukiwekeza viburi vinaanza na matukio ya hovyo akijua ukimzingua tu mnaachana na mali pasu pasu pia atalea watoto na mali ataongezewa ILI awalee WATOTO!!
Tuna miaka kumi tu makazini tumejenga vijumba vyetu na VITEGA UCHUMI vya kama laki kadhaa lakini tunajuta hata huo uwekezaji tulifanya wa NINI!!!?
Wake zetu wanachagua wa kuishi nao ndani yaani kama hataki mtu fulani akae bas vituko vitaanza hadi muhusika ataomba nauli ya Kurudi!
SASA unajiuliza hivi huyu alivyo hivi NIKIENDELEA KUWEKEZA si ndio atashiba hadi atataka ajitawale mwenyewe!!?
Shukuru Mungu ulioa enzi zenu zileeee!!!?
Mkuu umeongea kwa uchungu sanaMzee hongera sana!!

Ndio maana nikasem hizi ni hadith tuUshauri mzuri sana lakini bandiko lako linaacha maswali kichwani.
Kwanini ufiche mwaka wa kumaliza chuo mpaka uandike mwaka x?
Umesema unashare kisa jinsi ulivyofanikiwa kwanini umeshindwa kufafanunua miradi uliyowekeza? Ina ukakasi? Naamini kabisa lengo la kushare story yako ya mafanikio ilikuwa kutoa hamasa kwa vijana, fafanua miradi yako vijana wahamasike.
Mtu aliyesoma elimu ya mkoloni hana uandishi wa kisasa mfano matumizi ya emojis, matumizi ya x, itoshe tu kusema wewe ni kijana japo umetoa ushauri mzuri kwa vijana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Salaam kwenu wote,
Mimi ni mgeni humu ila ningependa kushare kisa kidogo cha maisha ya ujana wangu. Nimezaliwa 1953.
Kusema kweli mwenyezi Mungu alinijalia sana mimi, kwenye elimu ya darasani nilikuwa vizuri sana nikafanikiwa kumaliza chuo mwaka X kipindi hicho. Bahati nzuri nikapata kazi yangu kwenye kampuni Y, nilifanya kwa miaka 3 kabla ya kuhamishwa kupelekwa kwenye kituo kingine. ambapo nilipata mshahara na marupu marupu matamu kweli. Nilitumikia hiyo nafasi kwa miaka 35.
Mpaka nilivyostaafu rasmi 2016, namshukuru Mungu sana kwa kunijaalia akili ya kuona mbele, na kuweza kupanga hatma ya maisha yangu.
Niliweza kujiingiza kwenye kuwekeza kwenye vitega uchumi mbalimbali ambavyo ndo vinanilea sasa hivi.
Nawashauri vijana mtakaosoma hiki kisa tafadhali tafadhali tumieni muda wenu vizuri, msije mkajuta baadae mkiona mzee ni masikini jua haikuja hivi hivi, likewise mkiona mzee ni tajiri jua ni tu watu walijitoa haswa haswa,
Zingatia: Tumieni ujana wenu vizuri, narudia tena tumieni ujana wenu
Vizuri, narudia tumieni ujana wenu vizuri. Msije Mkajuta kwenye uzee wenu, maana muda utakuwa umekutupa mkono na ndipo maradhi yatakavyoanza kukushambulia.
Kwangu mimi navyoona umri wa kuweka nguvu ni (25-55) hapa ndo inabidi ufanye uwekezaji mkubwa na uchakarike sana.
Lakini kumbukeni pia kumtanguliza Mungu kwenye kila mfanyacho ili azidi kuwabariki. Mimi namshukuru Mungu wanangu 4 wapo vizuri kila mtu yupo kwao na famili zao. Mimi nalea wajukuu tu wakija likizo. Hivyo ni faraja sana kwangu.
Namshukuru Mungu kwa kunijaalia uzee mzuri, japo haikuwa rahisi mpaka kufikia hapa nilipo.
Muwe na Jumapili njema 👐👐👐👐👐
Moja ya vibwagizo vya maisha ni avatarNiko na digest nasaha za mzee wetu.
Mara jicho langu linaanguka kwenye hiyo Avatar.
Jaman!!!
Vijana tupambane, kesho yetu iwe nzuri.
Wewe ni mwongo haswa maisha yako tunayajua ni ya kubangaiza mno. Ila leo umeamua kutubeba ujinga sio?Salaam kwenu wote,