DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Mwache inawezekana kwani Andrew Nyerere nyuzi zake na comments alikuwa anaandika Muda gani? Tena Andrew Usiku wa manane ndo ulikuwa Muda wake wa kupost Habari zake.Huyo anajiita babu yupo JF mpaka saa8 usiku anacomment upumbavu. Mkuu mbona unataka kujitoa akili wakati vitu vipo wazi kabisa baby gani wa miaka 70 usiku saa8 anachat. Hivi shule ukuenda hata pic uoni?