Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😅😅 Si anaiga kwa vijanaMzee gani unaquote kila comments?
Mzee wa mchongo huyu!Mzee gani unaquote kila comments?
😂😂 Tunywe mtori tuKwa jf ya sasa sitashangaa mgeta mada akiwa 95 mpaka 2000 .
Ok. Wastani wa kipato chako kwa mwezi ni kiasi gani kutoka katika vitega uchumi vyako?-Mashamba(kilimo cha mbogamboga)
-ufugaji wa ngombe na nguruwe(butcher) supplier
-appartment kadhaa.
-bank savings.
-mpesa wakala,,,, hivyo tu
Naunga mkono hoja malengo ya wengi wazipate ili mbususu ziwakome na wengine wawakomoe ma ex.Vijana wa siku hizi wamewekeeza zaidi kwenye kula matunda kimasihara! Wengi wao hawana kabisa vision ya baadaye.
Mshahara uliufanyia nini?Mbinu niliyotumia ni ajira mkuuu,
Niliweza kujipangilia vizuri, mshahara wangu kila mwezi,
Hivyo nilikuwa na mtaji mzuri, jumlisha marupu rupu
Ndo niliweza kufanya hilo kwenye kuanzisha miradi yangu,
Ila mafao ya 2016 yalini boost sana
Kubaliana na upinzani humu JF maana wengine tayari wameshachelewa kwa kutokuwa na uwekezaji mzuri kama wewe, pia wengine ni Waathirika wa afya kwa magonjwa ya kisasa na madawa ya kulevya.Shukran mjukuu, [emoji114]
Shukran mkuu, nafahamu hili ni jukwaa huru, hivyo kila mtu ana uhuru wa kutoa mawazo yao,Kubaliana na upinzani humu JF maana wengine tayari wameshachelewa kwa kutokuwa na uwekezaji mzuri kama wewe, pia wengine ni Waathirika wa afya kwa magonjwa ya kisasa na madawa ya kulevya.
Hongera sana Mzee Baba [emoji1666][emoji122]
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Kabisa, na mimi nilizingatia pia nisi nenepeHongera Sana kwa ushauri mzuri baba.
Kwa kuongezea ujana ndio unapredict future yako iweje kiuchumi, kiafya n.k.
Afya ni muhimu mno kwenye ustawi wa mengineyo. Vijana wengi hawajali afya zao sijui ni kujisahau au kutokujua na wengi wanajitetea wakisema kufa kupo pape pale (yes sipingi) ila ni muhimu kuzijali afya zetu
..Ulizaliwa 1953, ilitakiwa Ustaafu Kwa LAZIMA Kwa Mujibu wa Sheria, Mwaka 2013 !!Salaam kwenu wote,
Mimi ni mgeni humu ila ningependa kushare kisa kidogo cha maisha ya ujana wangu,
Nimezaliwa 1953
Kusema kweli mwenyezi Mungu alinijalia sana mimi, kwenye elimu ya darasani nilikuwa vizuri sana nikafanikiwa kumaliza chuo mwaka X kipindi hicho
Bahati nzuri nikapata kazi yangu kwenye kampuni Y, nili fanya kwa miaka 3 kabla ya kuhamishwa kupelekwa kwenye kituo kingine
Ambapo nilipata mshahara na marupu marupu matamu kweli,
Nilitumikia hiyo nafasi kwa miaka 35
Mpaka nilivyostaafu rasmi 2016, namshukuru Mungu sana kwa kunijaalia akili ya kuona mbele, na kuweza kupanga hatma ya maisha yangu,
Niliweza kujiingiza kwenye kuwekeza kwenye vitega uchumi, mbalimbali
Ambavyo ndo vinanilea sasa hivi
nawashaurini vijana mtakaosoma hiki kisa tafadhali tafadhali tumieni muda wenu vizuri, msije mkajuta baadae mkiona mzee ni masikini jua haikuja hivi hivi, likewise mkiona mzee ni tajiri jua ni tu watu walijitoa haswa haswa,
Zingatia:
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
-TUMIENI UJANA WENU VIZURI,
-NARUDIA TENA TUMIENI UJANA WENU
VIZURI,
-NARUDIA TUMIENI UJANA WENU VIZURI
MSIJE
MKAJUTA KWENYE UZEE WENU, MAANA MUDA UTAKUWA UMEKUTUPA MKONO NA NDIPO MARADHI YATAKAVYOANZA KUKUSHAMBULIA,
Kwangu mimi navyoona umri wa kuweka nguvu ni (25-55) hapa ndo inabidi ufanye uwekezaji mkubwa na uchakarike sana
Lakini kumbukeni pia kumtanguliza Mungu kwenye kila mfanyacho, ili azidi kuwabariki,
Mimi namshukuru Mungu wanangu 4 wapo vizuri kila mtu yupo kwao NA FAMILIA ZAO
Mimi nalea wajukuu tu wakija likizo,
Hivyo ni faraja sana kwangu,
Namshukuru Mungu kwa kunijaalia uzee mzuri, japo haikuwa rahisi mpaka kufikia hapa nilipo,
Muwe na jpili njema [emoji114][emoji114][emoji114][emoji114][emoji114]