Nguvu ya ajabu ya maji yaliochanganywa na ndimu ya Unga kidogo

third eye chakra

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2023
Posts
918
Reaction score
2,160
Ukitaka mtu aropoke yote aliyofanya kwa siku hiyo wakati yuko usingizini basi akisha lala, chukua glass yoyote,itie maji ujazo kiasi kwamba kidole cha shahada kikiingizwa kitaenea ndani yamaji. Weka ndimu ya Unga nusu kijiko.

Kisha akiwa amelala usingizi mzito chukua kidole chake kisha weka kwenye kikombe kile cha maji.

Hapo atasema yote aliyofanya siku hiyo,yani ataweweseka sana huku akiwa anaropoka matukio kadhaa wakadhaa alio yafanya siku hiyo.

Hakikisha kidole hakikai kwa muda mrefu usio zidi dakika 30. kwa kufanya hivyo kitamletea umauti.
 
Porojo
 
sema hizi sanaa zetu tungeweka kwenye maendeleo (kama kuwapiga juju viongozi wala rushwa/chawa africa tungefika mbali)
Unacho zungumza mkuu ni sahihi ila katika tafiti zangu za muda mrefu nikwamba matukio yenye mtazamo kama uchawi yanamaana mzima kwenye ulimwengu wa kichawi wenyewe.
Nisawa nakutaka Arusha Leo tuibadili ndio iwe morogoro,nijambo lisilo wezekana kabisa hivyo mambo kama hayo kwania ulio ionesha wewe hayapo hivo.
 
Mkuu ni poroja kwauhakika au nidhana Yako binafsi nj'e yakufanya utafiti???
Sidhani kama utafiti huu unaweza kuhitaji gharama yoyote ile.
sidhani kama tunaishi bila ndimu ndani! ikiwa ndio basi nikutoe shaka Bei yake ni shilingi 100. test kwa huyo mchepuko wako Kisha lete results hapa👈
 
Mkuu deni la taifa ikiwa naamaana kwamba nawewe upo katika wanao daiwa ni illusion kitu icho hakipo mkuu nilini utawaza nj'e ya boksi??
IMG-20250612-WA0069.jpg
 
Unacho zungumza mkuu ni sahihi ila katika tafiti zangu za muda mrefu nikwamba matukio yenye mtazamo kama uchawi yanamaana mzima kwenye ulimwengu wa kichawi wenyewe.
Nisawa nakutaka Arusha Leo tuibadili ndio iwe morogoro,nijambo lisilo wezekana kabisa hivyo mambo kama hayo kwania ulio ionesha wewe hayapo hivo.
sawa sawa
 
Back
Top Bottom