S sysafiri JF-Expert Member Joined Sep 19, 2019 Posts 9,253 Reaction score 13,581 Jun 12, 2025 #41 Kama ni kweli usijaribu kwa mkeo! Maana kama alikuwa amechepuka atasema yote wakati anachepuka.
al1 JF-Expert Member Joined Mar 2, 2024 Posts 1,360 Reaction score 2,696 Jun 12, 2025 #42 Sisiiii mshana Jr njoo useme kitu kwenye hii maneno ya ulozi, by the way Kila mtu ata changanyikiwa ni swala la muda tu.
Sisiiii mshana Jr njoo useme kitu kwenye hii maneno ya ulozi, by the way Kila mtu ata changanyikiwa ni swala la muda tu.