third eye chakra
JF-Expert Member
- Dec 27, 2023
- 918
- 2,160
Ukitaka mtu aropoke yote aliyofanya kwa siku hiyo wakati yuko usingizini basi akisha lala, chukua glass yoyote,itie maji ujazo kiasi kwamba kidole cha shahada kikiingizwa kitaenea ndani yamaji. Weka ndimu ya Unga nusu kijiko.
Kisha akiwa amelala usingizi mzito chukua kidole chake kisha weka kwenye kikombe kile cha maji.
Hapo atasema yote aliyofanya siku hiyo,yani ataweweseka sana huku akiwa anaropoka matukio kadhaa wakadhaa alio yafanya siku hiyo.
Hakikisha kidole hakikai kwa muda mrefu usio zidi dakika 30. kwa kufanya hivyo kitamletea umauti.
Mkuu haya mambo yanawenyewe. hivi unadhani tukiwa na akili sawa ulio nayo wewe hapo kutakua na maana ya maisha?Dah asilimia kubwa ya watanzania kama ipo hivi ''basi bado sana''
Mkuu deni la taifa ikiwa naamaana kwamba nawewe upo katika wanao daiwa ni illusion kitu icho hakipo mkuu nilini utawaza nj'e ya boksi??Deni la taifa ni himilivu, mitano tena
Unacho zungumza mkuu ni sahihi ila katika tafiti zangu za muda mrefu nikwamba matukio yenye mtazamo kama uchawi yanamaana mzima kwenye ulimwengu wa kichawi wenyewe.sema hizi sanaa zetu tungeweka kwenye maendeleo (kama kuwapiga juju viongozi wala rushwa/chawa africa tungefika mbali)
Mkuu ni poroja kwauhakika au nidhana Yako binafsi nj'e yakufanya utafiti???Porojo
Mkuu deni la taifa ikiwa naamaana kwamba nawewe upo katika wanao daiwa ni illusion kitu icho hakipo mkuu nilini utawaza nj'e ya boksi??
Ndio, maisha ni kuwa pia na Afya ya Akili njema!Mkuu haya mambo yanawenyewe. hivi unadhani tukiwa na akili sawa ulio nayo wewe hapo kutakua na maana ya maisha?
sawa sawaUnacho zungumza mkuu ni sahihi ila katika tafiti zangu za muda mrefu nikwamba matukio yenye mtazamo kama uchawi yanamaana mzima kwenye ulimwengu wa kichawi wenyewe.
Nisawa nakutaka Arusha Leo tuibadili ndio iwe morogoro,nijambo lisilo wezekana kabisa hivyo mambo kama hayo kwania ulio ionesha wewe hayapo hivo.
π€£π€£π€£π€£ Mkuu nilidhani upo active muda wote kumbe Kuna wakati unakua off.
Naludia Tena hakuna mtu anae weza lipa madhambi ya mtu mwingine amka kaka kushakucha.
Sina mana iyo mkuu ππππ nimetuma iyo picha kwamba Kila MTZ anadaiwa den la 1.6M πππππΎββοΈππΎββοΈNaludia Tena hakuna mtu anae weza lipa madhambi ya mtu mwingine amka kaka kushakucha.
Sas apa tuna ambiwa tulipe mkuuu I wander πππππ€£π€£π€£π€£ Mkuu nilidhani upo active muda wote kumbe Kuna wakati unakua off.
Hakuna mtu anae weza kulipia vitu vilivyo ibiwa namtu mwingine.
Moja ya kanuni ya karma huijui???
Mkuu mbona huu sio uchawi! Ndimu niAcha uchawi basi