third eye chakra
JF-Expert Member
- Dec 27, 2023
- 918
- 2,160
- Thread starter
-
- #21
Ahaaa sawa mkuu nimekupata.uhakika nikwamba kama nikwawizi ulio zidi kiwango basi watalipa tuu watake wasitake.Sina mana iyo mkuu ππππ nimetuma iyo picha kwamba Kila MTZ anadaiwa den la 1.6M πππππΎββοΈππΎββοΈ
Kila anae shiriki jambo lolote Lile n mshirikina mkuu ππAkishtuka usingizini akakuta unamfanyia hivyo, akikuita mshirikina usikatae.π€£
M nihatari bidada usijalibu hii. Nakwaujumla sio kila kitu ujalibu maana mahusiano yenyewe yasasa,sio ndani ya ndoa au nj'e yapo stand bye.Aiseeeeeee
Sio hilo la kuvishana pete ya maji yalochanganywa na ndimu ukiwa usingiziniπ€£Kila anae shiriki jambo lolote Lile n mshirikina mkuu ππ
Akishtuka ndani ya huo huo usingizi basi itakua usingizi mkubwa zaidi, nandio itakua fulsa zaidi yawewe kukamilisha mpango wako.Akishtuka usingizini akakuta unamfanyia hivyo, akikuita mshirikina usikatae.π€£
Glasi ya maji yaliyochanganywa na unga wa ndimu yanafanya nini kitandani na yanakata kiu ipi?Utajua haujui ukifumwa.Akishtuka ndani ya huo huo usingizi basi itakua usingizi mkubwa zaidi, nandio itakua fulsa zaidi yawewe kukamilisha mpango wako.
Lakini kama ataamka nakufumbua macho Kisha akakuta glass ya maji pembeni! Hapo uchawi ni nini mkuu! glass yamaji niuchawi na ushirikina??
Wenzenu GenZ huko jirani wanaandamana kupinga bajeti yenye ongezeko la kodi n.k, huku bara mnadanganya watu waweke vidole kwenye maji ,,,,, aliyetuloga kafa
Raha nikwamba glass harafu ndani Kuna maji safi yalio changanywa na ndimu mkuu hapo inakutatiza juu ya atakae kua ameamka kuona kwauhakika nimaji ya KUNYWA???Glasi ya maji yaliyochanganywa na unga wa ndimu yanafanya nini kitandani na yanakata kiu ipi?Utajua haujui ukifumwa.
Mkuu kinondoni mnapaweza nyie wenyewe Mimi palinishinda kabisa kwatabia za nyie vijana wa kinondoni.Ponjoro wa kinondoni nini wewe, unaleta uchawi janvini kweli!!!! Sema kwanza NO REFORMS NO ELECTION.
πππ Mbona unajisahaurisha yyte yule anae shiriki jambo lolote Lile nae n mshirikinaSio hilo la kuvishana pete ya maji yalochanganywa na ndimu ukiwa usingiziniπ€£
Wamefanya nnMkuu kinondoni mnapaweza nyie wenyewe Mimi palinishinda kabisa kwatabia za nyie vijana wa kinondoni.
Huyu Mmalawi au Wamsumbiji ndio washirikina.Dah asilimia kubwa ya watanzania kama ipo hivi ''basi bado sana''
Ok tuseme amekushtukia lakini akazuga auone mwisho wako.Baada ya kuhisi kaubaridi fulani kidoleni anaamua kuamka.La haula!! kidole kimo ndani ya glasi.Sipati picha utakavyotoa macho kama samaki.π€£Raha nikwamba glass harafu ndani Kuna maji safi yalio changanywa na ndimu mkuu hapo inakutatiza juu ya atakae kua ameamka kuona kwauhakika nimaji ya KUNYWA???
Kuna Waha, Wafipa, Wabena, Wakinga na Wasukuma ni hatari sana haya makabilaHuyu Mmalawi au Wamsumbiji ndio washirikina.
Wamroge mzanzibari watusaidie kama kweli wanaweza.Kuna Waha, Wafipa, Wabena, Wakinga na Wasukuma ni hatari sana haya makabila
Sasa ikiwa ndio hivo hata Mimi sipati pichaπ€π€Ok tuseme amekushtukia lakini akazuga auone mwisho wako.Baada ya kuhisi kaubaridi fulani kidoleni anaamua kuamka.La haula!! kidole kimo ndani ya glasi.Sipati picha utakavyotoa macho kama samaki.π€£
Natamani watu wa Gambush waweke nguvu kwenye jengo jeupe! Sijui wanachelewa niniKuna Waha, Wafipa, Wabena, Wakinga na Wasukuma ni hatari sana haya makabila