Nguvu ya CHADEMA imeonekana nchi nzima na hofu ya vyombo vya dola ni kubwa sana. Je huu ni ushindi kabla ya mechi?

Wayasogeze mbele hadi Jumatano na yafanyike Jijini Mbeya..ikifika j5 wayasogeze mbele hadi Jmosi Jijini Mwanza...NDIO
 
sisiemu imezikwa rasmi chadema wanapambana na polisi,ila hii gemu chadema wameshinda
 
hata kama maandamano hayatafanyika tena?
yamekua hayo?
kwani si must go au?
 
Reactions: Tui
hata kama maandamano hayatafanyika tena?
yamekua hayo?
kwani si must go au?
Walitishia kujamba.Wajambe tuone.Ohh tumeshapata ushindi ni uzushi wa aliyekosa la kufanya.Lengo lilikuwa kuandamana. Waandamane ili tuone huo musuli wanaodai wanao.Wameanza kukamatwa kwa kukutwa na petroli wakijiandaa kulipua vituo vya mafuta.Sukuma ndani hawa washenzi hawajazoea siasa za hoja bali matusi na vurugu.Na kutoa amri kwa Serikali.
 
Ukitaja chadema,unamaanisha generation iliyozaliwa 1970 Hadi Leo.
Wawe ccm wrote hao ni chadema.

Hili ni kundi kubwa lisilotaia kuelewa mara amani,mara utulivu,wao wanahitaji serikali iwajibike haki ipatikane na wakabifhiwe nchi yao ,waiongoze na waisimamie.
 
Wameandamana mara ngapi bila vurugu? Lini walifanya vurugu? Kuandamana ni haki ya kikatiba.
 
Wameandamana mara ngapi bila vurugu? Lini walifanya vurugu? Kuandamana ni haki ya kikatiba.
Baada ya kuandamana wameanza kuota mikia na kutoa kauli za matusi na dharau kwa Serikali. Polisi wanaotoa kibali na kusimamia usalama wa watu na mali zao wameyapiga marufuku.
Hivyo ukiandamana unapinga amri halalli ya Polisi wanaokuwa na dhamana ya kulinda na kusimamia maandamano.
Ukiwa na ubavu ingia mitaani.
 
Haipo kwenye katiba polisi kutoa kibali...ni fikra za kishamba tu hizo....Samia hatofika popopte kwa kutumia dola...anajidanganya tu
 
Haipo kwenye katiba polisi kutoa kibali...ni fikra za kishamba tu hizo....Samia hatofika popopte kwa kutumia dola...anajidanganya tu
Kwa hiyo unafanya tu maandamano ukijisikia?Ni haki ya kikatiba lakini kuna masharti unatakiwa utimize mojawapo ni kuiarifu Polisi ili watoe go ahead na kushiriki kwenye kulinda wananchi na mali zao.
Viongozi wako wasingekuwa wanaandika barua kuiarifu Polisi bali wangekuwa wanaingia tu mitaani.
Polisi wana haki ya kukataa kufanyika kwa maandamano kukiwepo na viashiria vya uvunjifu wa amani.
CCM walitaka kufanya maandamano Ngorongoro Polisi wakakataa kuyaruhusu na hakukuwa na malumbano,ACT pia walinyimwa kufanya maandamano. What is so special with Chadema kama sio kudeka na kujifanya kichwa ngumu?
 
Ndio sera za Chadema? Kucheza na akili, hivi unaelewa ulichoandika? Ni muda wa CHADEMA kuwaza sera zao waache michezo ya kitoto
ishakuingia tayari lazima uweweseke 😀 ...pole
 
Chadema wanaweza kuwa na nusu Karne Kuja kuiangusha ccm japo uwepo wake na michezo yake Ina saidia Sana angalau kuweka Mambo sawa kwa watanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…