Granta
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 5,016
- 6,310
Hapana, Mimi sina chama chochoteNa wewe ni CCM?!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana, Mimi sina chama chochoteNa wewe ni CCM?!
Ila una ujinga mkubwa.Hapana, Mimi sina chama chochote
Pamoja na ujinga unaousema, Kesho andamana ndio utajua hujuiIla una ujinga mkubwa.
Wewe kama ni mwoga na unakubaliana na mauaji ya watanzania baki nyumbani.Pamoja na ujinga unaousema, Kesho andamana ndio utajua hujui
Sawa, wewe ingia mtaaniWewe kama ni mwoga na unakubaliana na mauaji ya watanzania baki nyumbani.
sisiemu imezikwa rasmi chadema wanapambana na polisi,ila hii gemu chadema wameshindaKama ni ushindi, basi CHADEMA walishashinda mechi kabla hata ya mechi yenyewe kuchezwa. Hii mbinu ya kimapambano ni kubwa sana na haijapata kutokea hapa Tanzania.
Nimeona polisi kila kona ya jiji na unaweza ukafikiri kuna shambulio la kijeshi linasubiriwa kutoka majeshi ya nchi jirani au kutoka taifa kubwa duniani. Ni wazi kabisa kuwa hofu ya jeshi la polisi na uongozi wa nchi hii kwa CHADEMA ni kubwa sana.
Tafsiri yake:
1. CHADEMA inaogopwa sana kutokana na kuwa na nguvu kubwa ya ushawishi
2. Watanzania wanaosemwa kuwa wapole na watulivu ukweli ni kwamba wanaogopwa kuliko majeshi ya nchi jirani
3. Viongozi wetu wapo tayari kutumia nguvu kupitiliza na hawako tayari kufanya mazungumzo na kusikiliza haja za wananchi
4. Watanzania wakiwa na umoja wanatatua matatizo sugu mara moja
5. Serikali ya Samia imeendelea kujitangaza kwa jumuiya ya kimataifa kama serikali yenye kutumia nguvu kupindukia na hairuhusu njia ya mazungumzo
Hitimisho
CHADEMA wameonesha nguvu kubwa kama chama cha upinzani kuweza kutetemesha vyombo vya dola na kwamba viongozi wa CHADEMA na CHADEMA kama taasisi ya kisiasa wana nguvu na ushawishi mkubwa sana katika nchi hii. Hata kama maandamano hayatafanyika, CHADEMA tayari wameshafikisha ujumbe, na kazi sasa ni kuendelea kushinikiza hadi hali ya uongozi wa nchi hii ibadilike.
hata kama maandamano hayatafanyika tena?Hitimisho
CHADEMA wameonesha nguvu kubwa kama chama cha upinzani kuweza kutetemesha vyombo vya dola na kwamba viongozi wa CHADEMA na CHADEMA kama taasisi ya kisiasa wana nguvu na ushawishi mkubwa sana katika nchi hii. Hata kama maandamano hayatafanyika, CHADEMA tayari wameshafikisha ujumbe, na kazi sasa ni kuendelea kushinikiza hadi hali ya uongozi wa nchi hii ibadilike.
Walitishia kujamba.Wajambe tuone.Ohh tumeshapata ushindi ni uzushi wa aliyekosa la kufanya.Lengo lilikuwa kuandamana. Waandamane ili tuone huo musuli wanaodai wanao.Wameanza kukamatwa kwa kukutwa na petroli wakijiandaa kulipua vituo vya mafuta.Sukuma ndani hawa washenzi hawajazoea siasa za hoja bali matusi na vurugu.Na kutoa amri kwa Serikali.hata kama maandamano hayatafanyika tena?
yamekua hayo?
kwani si must go au?
Wameandamana mara ngapi bila vurugu? Lini walifanya vurugu? Kuandamana ni haki ya kikatiba.Walitishia kujamba.Wajambe tuone.Ohh tumeshapata ushindi ni uzushi wa aliyekosa la kufanya.Lengo lilikuwa kuandamana. Waandamane ili tuone huo musuli wanaodai wanao.Wameanza kukamatwa kwa kukutwa na petroli wakijiandaa kulipua vituo vya mafuta.Sukuma ndani hawa washenzi hawajazoea siasa za hoja bali matusi na vurugu.Na kutoa amri kwa Serikali.
Baada ya kuandamana wameanza kuota mikia na kutoa kauli za matusi na dharau kwa Serikali. Polisi wanaotoa kibali na kusimamia usalama wa watu na mali zao wameyapiga marufuku.Wameandamana mara ngapi bila vurugu? Lini walifanya vurugu? Kuandamana ni haki ya kikatiba.
Haipo kwenye katiba polisi kutoa kibali...ni fikra za kishamba tu hizo....Samia hatofika popopte kwa kutumia dola...anajidanganya tuBaada ya kuandamana wameanza kuota mikia na kutoa kauli za matusi na dharau kwa Serikali. Polisi wanaotoa kibali na kusimamia usalama wa watu na mali zao wameyapiga marufuku.
Hivyo ukiandamana unapinga amri halalli ya Polisi wanaokuwa na dhamana ya kulinda na kusimamia maandamano.
Ukiwa na ubavu ingia mitaani.
Kwa hiyo unafanya tu maandamano ukijisikia?Ni haki ya kikatiba lakini kuna masharti unatakiwa utimize mojawapo ni kuiarifu Polisi ili watoe go ahead na kushiriki kwenye kulinda wananchi na mali zao.Haipo kwenye katiba polisi kutoa kibali...ni fikra za kishamba tu hizo....Samia hatofika popopte kwa kutumia dola...anajidanganya tu
Naunga mkono hojaNaona hii inatakiwa kuwa jukwaa la vichekesho😄😄
ishakuingia tayari lazima uweweseke 😀 ...poleNdio sera za Chadema? Kucheza na akili, hivi unaelewa ulichoandika? Ni muda wa CHADEMA kuwaza sera zao waache michezo ya kitoto
kawaida yenu kujibu kwa jazba, si naona boss wenu jazba lote lile la nini wakati majeshi yote yake!kwahiyo wenye akili Chadema ndiyo kama wewe sio gentleman?🤣
ati gentleman, unasema?🤣kawaida yenu kujibu kwa jazba, si naona boss wenu jazba lote lile la nini wakati majeshi yote yake!
Chadema wanaweza kuwa na nusu Karne Kuja kuiangusha ccm japo uwepo wake na michezo yake Ina saidia Sana angalau kuweka Mambo sawa kwa watanzaniaKama ni ushindi, basi CHADEMA walishashinda mechi kabla hata ya mechi yenyewe kuchezwa. Hii mbinu ya kimapambano ni kubwa sana na haijapata kutokea hapa Tanzania.