Nguvu ya DNA: Je, tunarithi zaidi ya mwonekano kutoka kwa wazazi wetu

Ngoja nichangie hapo kwenye mapenzi/ sexual compatability.

Hapo genes zenu zikiendana 'The cuddle genes" na hasa zikiwq nyingi kwenu wote wawili Kuna namna mtapata msisimuko ama Raha za kupitiliza coz mna match. Mda wote mnapenda kuwasiliana, chat, kumbatiana kwa kifupi bond yenu inakua kubwa hivo mpaka kwenye tendo Raha ni za kupitiliza

Visiversa zikiwq chache Kila mtu atataka uhuru, hata taka kushikiriwa sana kwaiyo DNA test Kuna mda Ina umuhimu wake kuangalika tuna match na hii ni angle mmoja tu ya mapenzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…