Hoja nzuri,wameilewa , wako makini, Nimecheka hii ya kubishana na baba mkwe!Tangu kuanzishwa kwa JamiiForums mwaka 2006 hadi ilipobadilishwa kuwa JamiiAfrica 2025, nguvu kubwa ya mtandao huu ipo kwenye usiri wa utambulisho wa members(anonymity).
Uchangiaji unakuwa bora zaidi maana members tunakuwa na uhuru wa kutoa mawazo yetu, kukosoa,kukejeli, kupinga, kupongeza n.k inasadifu slogan ya where we talk openly.
Kama kwa namna yoyote ile u-anonymity huu utaondolewa kwa kuleta mfumo wa kuweka jina halisi, picha, eneo mhusika alipo n.k wengi nadhani tutaikimbia JamiiAfrica ama italazimika tujipange upya!
Mshangazi dot com aliwahi kusema
"JF unaweza kubishana hata na babamkwe na ukamshinda bila nyie kujuana..."
Heshima mbele wakuu,
Nawasilisha.
NKabisa inabidi waulinde kwa hali na mali, IDs ni bora kuliko kutumia majina halisi.
Exactly π― Maxence Melo na timu yake wamefanya kazi safi mno hili jukwaa lipo vizuri sana ndio maana Kila siku lazima niwe nakuja humu jukwaani jf ni jukwaa pendwa sanaKabisa [emoji817] tena kwa lugha yetu adhimu ya kiswahili
Ni nzuri sana hata viongozi wana wigo mpana wa kuchangia mada kwa fake IDs kuliko wangekuja kama wao, wangekutana na negativity wasingeweza kuvumilia.ID ni nzuri bhana usikute Erythrocyte ni John heche au sarungi.....au Tlaatlaah ni makonda. Who knows about this flicks. Nonsense
Poa mkuu. Huu mtandao ushakuwa wetu sema melo tumempa Tu jukumu la kututunzia Siri. Unatuuma tunapoona unakuwa mtandao wa machawa badala ya kujadili hoja. So painful πHaha ni kweli sikupingi lakini kwa sasa acha ibaki kama ilivyo!
Sema kweli mkuu π!Mkuu,usimwamini MTU mweusi. IPO siku atakubwaga....kwani lazima awe melo? JF ni taasisi ambayo itapata wakurugenzi mbali mbali... Be ware na taarifa zako. IPO siku haya maandishi yako utayakuta kwenye oral interview yako na KAZI itakuwa huna tena.
Writings live longer than humans remember
Sahihi [emoji817] mkuu, machawa wanaboa sana maana wako biased badala ya kusema ukweli wanatetea hata kama jambo haliko sawa!Poa mkuu. Huu mtandao ushakuwa wetu sema melo tumempa Tu jukumu la kututunzia Siri. Unatuuma tunapoona unakuwa mtandao wa machawa badala ya kujadili hoja. So painful
Asante kwa kuniheshimisha mkuu japo Mimi ni keyboard warrior πͺ Niko huku maporini kikosi cha mizinga.Sahihi [emoji817] mkuu, machawa wanaboa sana maana wako biased badala ya kusema ukweli wanatetea hata kama jambo haliko sawa!
Anonymity idumu huenda supu ya kokoto ni Waziri π
Tamba familia kwani iko nini.Ngoja tusubiri kwanza tuone jamii Africa itakuwaje, tukiona inaenda kinyume na matarajio yetu then nitaanzisha forum ambayo itatufaa.
Kwani shingapi??