Nakubaliana nawewe mkuu [emoji817]Kama usiri haujalindwa utajuaje?
Na kitendo Cha Melo kuwa karibu na viongozi wa serikali, unaamini Kuna usiri..
ilitakiwa hata mmiliki asiwe na uwezo wa kujua utambulisho wako.
Yaani hata yeye asijulikane..
Kitendo Cha yeye kujulikana ni rahisi sana wew kupatikana!
Ataombwa atoe ushirikiano tu.
Kiujumla tuwe na staha kweny Lugha zetu na tusiwe na matusi.
Kweny ukweli tuongee hata Kama unauma
Japo ni kazi kumaintain Hilo ikizingatiwa mmiliki yupo na anajulikanaNakubaliana nawewe mkuu [emoji817]
Sheria za mtandao huu ziko wazi, sheria za faragha na kanuni kwa watumiaji.
Naona umekula chuma cha kichwaNilie kwani mie mtoto?
Boya we
Kuna anynimous na jina bandia ni vitu viwili tofauti ujue,huyu anynimous ndo awezi tambulika,mtanijuza kama niko wrongHua siwaelew mnaosema JF Kuna usiri, ety kisa kuna fake ID, kwan mitandao mingine hakuna fake ID?
N bc tuu Melo hajabanwa mbupu
Upo sawa kabisaaaaa! Maana humu huwa tunatililika kweli kweli. Na ushauri mwingi na ukosoaji kutoka humu huwa unasaidia hata watawala uchwara kubadilikaTangu kuanzishwa kwa JamiiForums mwaka 2006 hadi ilipobadilishwa kuwa JamiiAfrica 2025, nguvu kubwa ya mtandao huu ipo kwenye usiri wa utambulisho wa members(anonymity).
Uchangiaji unakuwa bora zaidi maana members tunakuwa na uhuru wa kutoa mawazo yetu, kukosoa,kukejeli, kupinga, kupongeza n.k inasadifu slogan ya where we talk openly.
Kama kwa namna yoyote ile u-anonymity huu utaondolewa kwa kuleta mfumo wa kuweka jina halisi, picha, eneo mhusika alipo n.k wengi nadhani tutaikimbia JamiiAfrica ama italazimika tujipange upya!
Mshangazi dot com aliwahi kusema
"JF unaweza kubishana hata na babamkwe na ukamshinda bila nyie kujuana..."
Heshima mbele wakuu,
Nawasilisha.
Basi Dakota ndodi ni mwongo wa kutupwe, eti anatutishia tuliokuwa na kipaji cha kujichua kwa kutumia picha za warembo.Mwaka wa 35 huu kati ya miaka 36 niliyonayo na bado napiga nyeto na mashine ipo ngaringari
anonymous humtambui ni kweli [emoji817] ndio maana hata KERO nyingi zinapostiwa na members kama anonymous ili isitambulike ni nani, fake ID zenyewe zina uanonymous japo ni mdogo ukilinganisha na anaepost kama anonymous bila ID.Kuna anynimous na jina bandia ni vitu viwili tofauti ujue,huyu anynimous ndo awezi tambulika,mtanijuza kama niko wrong
Wap umeona imekuwa JamiiAfrica?Nyiee ndo naangalia hapo leo na kujua kuwa inaitwa Jamii Africa mwee
Duh kazi ipoKwenyet TITLE YA UZI
JF ya sasa si sawa na ya kale. Melo habanwi tena pumbu. Anapewa cake sasa huwezi sikia milio.Mkuu unadhani hajawahi kubanwa, Melo kakutana na mengi mpaka hapa alipofikia, kesi kibao ila alichagua kilicho bora.
Duuh kumbe ni uzi wa jamaa...nimekomfyuziWap umeona imekuwa JamiiAfrica?
OP ushasekwa rumande..😹😹Mbunge wa nyokwe.
Mie mwenyewe najimudu
kwamba alibanwa nin?....🤣🤣🤸Mkuu unadhani hajawahi kubanwa, Melo kakutana na mengi mpaka hapa alipofikia, kesi kibao ila alichagua kilicho bora.
nani huyo kadakwa ID ikasomeka last seen 2010Kama wewe unaamini hakuna usiri mbele ya serikali, na kuna watu wanafinywa kimya kimya wakihitajika, na mwisho ID zao zinasomeka last seen 2010.... Hongera sana...
Binafsi mimi sijawahi amini katika usiri wa social media zote,...
kwasababu mimi ni mtu mungwana na mwenye weledi wa kiwango cha juu sana humu jukwaani, nafuta kauli iliyokukwaza binti mrembo,Kigodoro
Kuna kigodoro hapa
View attachment 3318946
Na siku nyingine marufuku kuja kwenye nyuzi zangu ninazoanzishaga.
Na marufuku kuni-quote!