johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Unatumia lugha ngumu mkuu jf ni sehemu huru kutoa mawazo mkuu sio lazima wote tukubali
Endelea kukariri bwashee!Mtoa mada kamtaja Job kama job lakini lazima tutambue kiti cha spika ndo chenye nguvu yoyote akikalia kiti cha spika lazima awe vile
Huyo Spika Ndugai nguvu yake inatokana na Jiwe ambaye ndivyo anavyotaka serikali yake iendeshwe kwa kutozingatia hata Katiba ya nchi ambayo ndiyo sheria mama, ambayo hao viongozi wote waliapa kuitii na kuiheshimu kabla hawajakabidhiwa majukumu waliyo nayo.Hao niliowataja ni wachache miongoni mwa wengi waliojaribu kupimana ubavu na mh Job Ndugai na kuangukia pua...
Nenda kalime nyanya nae huko aliko.Mimi niko na Prof Assad
Hivi huwa unalipwa kiasi gani kila siku kupost issues ambazo hazina faida yoyote kwa taifa na kwako mwenyewe? Hata unao watetea hawakujali yani.Hao niliowataja ni wachache miongoni mwa wengi waliojaribu kupimana ubavu na mh Job Ndugai na kuangukia pua.