Nguvu ya Job Ndugai ilivyowasambaratisha Prof. Assad, Makonda, Tundu Lissu, Mbowe na Mpina!

JIWE pia hana nguvu ni polisiccm na JWTZ
Huyo Spika Ndugai nguvu yake inatokana na Jiwe ambaye ndivyo anavyotaka serikali yake iendeshwe kwa kutozingatia hata Katiba ya nchi ambayo ndiyo sheria mama, ambayo hao viongozi wote waliapa kuitii na kuiheshimu kabla hawajakabidhiwa majukumu waliyo nayo.
 
Kuna yule Steven Masele! Bifu lake na Ndugai wakati ule huenda nalo lilichangia pakubwa kufyekelewa mbali na Kamati kuu na hivyo kuchukuliwa Karai Patrobas Katambi!

Usikute hata Mwana Jamii Forums mwenzetu Pascal Mayalla hajapata uteuzi mpaka sasa ingawa alifanya kazi kubwa sana mitandaoni ya kuitangaza CCM, Mgombea wake na yule Askofu mhuni gwajiboy! Kwa sababu ya Ndugai huyu huyu!

Huyu Mgogo ni hatari sana! Alizifuta pia ndoto za Tulia Ackson kuwa Spika kwenye Bunge hili! Hivyo itamlazimu kusubiri mpaka wakati ujao.
 
Nchi kwa sasa inapita kwenye tanuru lamoto, baada ya hapo kila mtu atakuwa ameiva hamtataka utoto tena, unaikumbuka ile sheria ya majuzi inayoongeza watu wataolindwa na katiba hata kama wakiivunja? ni akina nani waliipitisha? unawakumbuka walioikataa katiba ya warioba? kwa nini waliikataa?

Historia ya nchi yetu inaandikwa upya na safari hii haitambeba mtu! ulishawahi kusikia mtu furani mkubwa anaitwa MANGUNGO tunakoenda kina mangungowatakuwa wengi subirini mtaona.

Viongozi wangu, msione sifa kuikanyaga Katiba na mkidhani hatuna la kuwafanya. Mkumbukeni Mangungo kwa tafakuri
NDIO ni jambo la muda tu tutakuja ona huko mbele.
 
Nguvu ipi? Labda ya file ...maana alishasema watu wasimchezee ana file pale milembe!!
 
Hao niliowataja ni wachache miongoni mwa wengi waliojaribu kupimana ubavu na mh Job Ndugai na kuangukia pua.

Wengi hawaijui nguvu ya Ndugai ndani ya CCM lakini kiukweli huyu jamaa ni very powerful.

Wako wapi leo akina Makonda, Prof Assad, Mbowe na yule aliyepima samaki kwa rula kwenye mgahawa wa bunge?
Nawashauri akina Halima Mdee na wenzake waweke imani yao kwa Spika Ndugai watavuka salama.

Maendeleo hayana vyama!
Prof Assad is the best na hajutii maamuzi aliyoyafayna na ni mwalimu mzuri sana ,usimlinganisha na wanasiasa wa darasa la 3
 
Hao niliowataja ni wachache miongoni mwa wengi waliojaribu kupimana ubavu na mh Job Ndugai na kuangukia pua.

Wengi hawaijui nguvu ya Ndugai ndani ya CCM lakini kiukweli huyu jamaa ni very powerful.

Wako wapi leo akina Makonda, Prof Assad, Mbowe na yule aliyepima samaki kwa rula kwenye mgahawa wa bunge?
Nawashauri akina Halima Mdee na wenzake waweke imani yao kwa Spika Ndugai watavuka salama.

Maendeleo hayana vyama!

sambaratisha bunge 😂😂 na demokrasia sio watu
 
Hao niliowataja ni wachache miongoni mwa wengi waliojaribu kupimana ubavu na mh Job Ndugai na kuangukia pua.

Wengi hawaijui nguvu ya Ndugai ndani ya CCM lakini kiukweli huyu jamaa ni very powerful.

Wako wapi leo akina Makonda, Prof Assad, Mbowe na yule aliyepima samaki kwa rula kwenye mgahawa wa bunge?
Nawashauri akina Halima Mdee na wenzake waweke imani yao kwa Spika Ndugai watavuka salama.

Maendeleo hayana vyama!
Mpina alifanya nini?
 
Back
Top Bottom