mama D
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 19,981
- 35,581
Kama ni hivyo basi hiyo ndio nguvu yenyewe aliyonayo Mdudu.Hana nguvu yoyote, zaidi ya kutumwa na kufata maelekezo.
Ndio maana akatimwa yeye na sio wewe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama ni hivyo basi hiyo ndio nguvu yenyewe aliyonayo Mdudu.Hana nguvu yoyote, zaidi ya kutumwa na kufata maelekezo.
Job Ndugai hana nguvu wala ushawishi wowote zaidi ya kulindwa na bosi wa genge lao JPM! Angekuwa na nguvu au ushawishi asingetegemea kuokolewa na TUME ya “uchafuzi” ya CCM!Hao niliowataja ni wachache miongoni mwa wengi waliojaribu kupimana ubavu na mh Job Ndugai na kuangukia pua...
Hao niliowataja ni wachache miongoni mwa wengi waliojaribu kupimana ubavu na mh Job Ndugai na kuangukia pua...
Nguvu ya aliyemuweka hapo yeye kama yeye ni mweupe kabisaaaaa, na ukichanganya na zile b29 alizotia kiberiti kule Apollo India ndiyo utaelewaHao niliowataja ni wachache miongoni mwa wengi waliojaribu kupimana ubavu na mh Job Ndugai na kuangukia pua...
Kwa kauli yake mwenyeweJamaa ashasema mwemyewe kwamba ana file milembe. Watu wasimchezee!
Wanamdharau kama wanavyomdharau Mzee wa njaaHivi huwa unalipwa kiasi gani kila siku kupost issues ambazo hazina faida yoyote kwa taifa na kwako mwenyewe?? Hata unao watetea hawakujali yani
Kama hiviHiyo nguvu tunatarajia awe nayo hata atakapokufa au cheo chake kuisha, yaani akiwa mstaafu basi ndugai abaki na manguvu hayo hayo
Nenda kalime nyanya nae huko aliko.
Hana Nguvu zaidi ya kukiuka Katiba anayo mwomba Mungu amsaidieHao niliowataja ni wachache miongoni mwa wengi waliojaribu kupimana ubavu na mh Job Ndugai na kuangukia pua...
Hana nguvu yoyote bali ni tapeli ambaye arobaini zake hazijafika. Mark my words huyu jamaa siku zake zinahesabika.Hao niliowataja ni wachache miongoni mwa wengi waliojaribu kupimana ubavu na mh Job Ndugai na kuangukia pua.
Wengi hawaijui nguvu ya Ndugai ndani ya CCM lakini kiukweli huyu jamaa ni very powerful.
Wako wapi leo akina Makonda, Prof Assad, Mbowe na yule aliyepima samaki kwa rula kwenye mgahawa wa bunge?
Nawashauri akina Halima Mdee na wenzake waweke imani yao kwa Spika Ndugai watavuka salama.
Maendeleo hayana vyama!
Ungesema nguvu za mbeleko ya kijani ilivyo angalau ningekuelewa.Hao niliowataja ni wachache miongoni mwa wengi waliojaribu kupimana ubavu na mh Job Ndugai na kuangukia pua.
Wengi hawaijui nguvu ya Ndugai ndani ya CCM lakini kiukweli huyu jamaa ni very powerful.
Wako wapi leo akina Makonda, Prof Assad, Mbowe na yule aliyepima samaki kwa rula kwenye mgahawa wa bunge?
Nawashauri akina Halima Mdee na wenzake waweke imani yao kwa Spika Ndugai watavuka salama.
Maendeleo hayana vyama!