Huyo Spika Ndugai nguvu yake inatokana na Jiwe ambaye ndivyo anavyotaka serikali yake iendeshwe kwa kutozingatia hata Katiba ya nchi ambayo ndiyo sheria mama, ambayo hao viongozi wote waliapa kuitii na kuiheshimu kabla hawajakabidhiwa majukumu waliyo nayo.
Nchi kwa sasa inapita kwenye tanuru lamoto, baada ya hapo kila mtu atakuwa ameiva hamtataka utoto tena, unaikumbuka ile sheria ya majuzi inayoongeza watu wataolindwa na katiba hata kama wakiivunja? ni akina nani waliipitisha? unawakumbuka walioikataa katiba ya warioba? kwa nini waliikataa?
Historia ya nchi yetu inaandikwa upya na safari hii haitambeba mtu! ulishawahi kusikia mtu furani mkubwa anaitwa MANGUNGO tunakoenda kina mangungowatakuwa wengi subirini mtaona.
Viongozi wangu, msione sifa kuikanyaga Katiba na mkidhani hatuna la kuwafanya. Mkumbukeni Mangungo kwa tafakuriNchi kwa sasa inapita kwenye tanuru lamoto, baada ya hapo kila mtu atakuwa ameiva hamtataka utoto tena, unaikumbuka ile sheria ya majuzi inayoongeza watu wataolindwa na katiba hata kama wakiivunja? ni akina nani waliipitisha? unawakumbuka walioikataa katiba ya warioba? kwa nini waliikataa?
Historia ya nchi yetu inaandikwa upya na safari hii haitambeba mtu! ulishawahi kusikia mtu furani mkubwa anaitwa MANGUNGO tunakoenda kina mangungowatakuwa wengi subirini mtaona.
Endelea kubaki hata na Amsterdam, hayo ni maamuzi yako tu.Mimi niko na Prof Assad
Baba/mama Pekupeku!Hivi huwa unalipwa kiasi gani kila siku kupost issues ambazo hazina faida yoyote kwa taifa na kwako mwenyewe?? Hata unao watetea hawakujali yani
Prof Assad is the best na hajutii maamuzi aliyoyafayna na ni mwalimu mzuri sana ,usimlinganisha na wanasiasa wa darasa la 3Hao niliowataja ni wachache miongoni mwa wengi waliojaribu kupimana ubavu na mh Job Ndugai na kuangukia pua.
Wengi hawaijui nguvu ya Ndugai ndani ya CCM lakini kiukweli huyu jamaa ni very powerful.
Wako wapi leo akina Makonda, Prof Assad, Mbowe na yule aliyepima samaki kwa rula kwenye mgahawa wa bunge?
Nawashauri akina Halima Mdee na wenzake waweke imani yao kwa Spika Ndugai watavuka salama.
Maendeleo hayana vyama!
Mh...kwani waalimu walishaongezewa ujira?En
Endelea kubaki hata na Amsterdam, hayo ni maamuzi yako tu.
Hao niliowataja ni wachache miongoni mwa wengi waliojaribu kupimana ubavu na mh Job Ndugai na kuangukia pua.
Wengi hawaijui nguvu ya Ndugai ndani ya CCM lakini kiukweli huyu jamaa ni very powerful.
Wako wapi leo akina Makonda, Prof Assad, Mbowe na yule aliyepima samaki kwa rula kwenye mgahawa wa bunge?
Nawashauri akina Halima Mdee na wenzake waweke imani yao kwa Spika Ndugai watavuka salama.
Maendeleo hayana vyama!
Mpina alifanya nini?Hao niliowataja ni wachache miongoni mwa wengi waliojaribu kupimana ubavu na mh Job Ndugai na kuangukia pua.
Wengi hawaijui nguvu ya Ndugai ndani ya CCM lakini kiukweli huyu jamaa ni very powerful.
Wako wapi leo akina Makonda, Prof Assad, Mbowe na yule aliyepima samaki kwa rula kwenye mgahawa wa bunge?
Nawashauri akina Halima Mdee na wenzake waweke imani yao kwa Spika Ndugai watavuka salama.
Maendeleo hayana vyama!
Mmefika wapi? ππMimi niko na Prof. Assad.
Akikujibu nitagMpina alifanya nini?
Bado bila bila...hatujaongezewa mshahara huku chunya tangu 2014Mmefika wapi? ππ