Kikwajuni One
JF-Expert Member
- Mar 18, 2013
- 14,694
- 7,912
Ndoto ya jua kali,hakuna atakaye funga biashara,yake,kwa kufuata wachache wasio na maarifa,huli nyama lakini anakula samaki kuku,papa,samaki wakavu,ni kubadilisha kitoeo tu.Labda steki ya dagaa mchele na maharage
Sasa we ni mzunguWakatoliki hatucharazi bakora kama wenzetu
Mtaishi kwenye mfumo na tamaduni zetu
Make msitake
Kuleni tuKwahiyo kesho tutakaokula nyama mtatutia viboko au mnatukaushia?
Mh!😂😀🤣hapo ni kula mizoga ila flesh hupati
Utakula maharage na mboga mboga yuNi kuheshimu tuu, ukila haina effect, usipokula Haina effect
Nyama utapata wapi?Ndoto ya jua kali,hakuna atakaye funga biashara,yake,kwa kufuata wachache wasio na maarifa,huli nyama lakini anakula samaki kuku,papa,samaki wakavu,ni kubadilisha kitoeo tu.
Amka,utakunya kitandaniNakupa pole
Huwezi pata nyama kesho
Kwanini usile nyamaMe mwafrica
Sijajua ulipo ila huku dasalama aseeh watu hawajui unayosema maake hakuna wakatoliki tuu sawa mzeeUtakula maharage na mboga mboga yu
Nyama utapata wapi?
Hata nyie wapagani na protestants mnaheshimu tamaduni za kanisa katoliki indirectly