Nguvu ya kanisa katoliki, Kesho ijumaa kuu. Butcher zitafungwa

Wanasema ndio linatawala dunia
 
Hizo ni sheria, taratibu na tamaduni za kanisa.
Ni lini Yesu au imeandikwa wapi kuwa kila Jumapili mkusanyike kanisani
Hizo sheria zimetungwa na nani za kukataza watu wasile nyama Ijumaa?
Siku zote ni siku za kukusanyika! Ni swala la kuchagua ni siku ipi ya kukusanyika,
Matendo2:46-47
Waebrania10:25
Matendo20:7-9
Lakini hizo sheria za kibinadamu walizojitungia wanadamu mf.kutokula nyama,nk hazina nafasi katika Agano Jipya!
 
Nakupuuza
 
Acha kujivunia vitu vya kijinga
 
Wanasema ndio linatawala dunia
Hakika kanisa katoliki ndo linatawala Dunia
Hata wabishi wa Mashariki ya kati wameacha calendar 🗓️ zao wanatumia ya Vatican
Wanafanya birthday
Wanafuata sheria na kanuni zote za catholic church
 

We . Labda Sio mbeya .. Mbeya nyama zipo tyu na wewe. ...

Ndizi za kubonda nyama nusu. Jumla 7000.
Af mauzo anayouza kwa siku 12,000.

Kumbuka bado hajanywa Pepsi ya baridi.
 
We . Labda Sio mbeya .. Mbeya nyama zipo tyu na wewe. ...

Ndizi za kubonda nyama nusu. Jumla 7000.
Af mauzo anayouza kwa siku 12,000.

Kumbuka bado hajanywa Pepsi ya baridi.
Dhambi ujue
 
Na sie tutakao kula kuku wa kuhokwa, tutaishi vipi? Lol
 
What the Fyck is this???!!!. Kesho naamka na mtori wa mbuzi. Mchana ni supu ya Kuku na Mkate wa Supa Loaf huku nikiwatazama wakatoliki wa tandahimba wa kishindia maharage. Religion is a Scam
 
Huko kijijini kwenu ngara bucha si liko moja tu la padri kwahiyo ni kweli lazima lifungwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…