Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Hongera sana kwa kudumisha utu.Leo hii wakati nimeamka kufanya mazoezi asubuhi, nilikikuta kipochi cha mkononi (hand bag) kwenye njia ambayo huwa nafanya jogging, Nilichunguza mazingira vizuri na nikakifungua, nilikuta noti 132 za elf 10 pamoja na noti nyingine chache, flash, na kitambulisho...
Nishaokota simu ya mtu, nikamrudishia.
Nishapoteza wallet yenye pesa na cards, nikarudishiwa.
Nishaokota wallet ya mtu, nikamrudishia.