Hongera sana kwa kudumisha utu.Leo hii wakati nimeamka kufanya mazoezi asubuhi, nilikikuta kipochi cha mkononi (hand bag) kwenye njia ambayo huwa nafanya jogging, Nilichunguza mazingira vizuri na nikakifungua, nilikuta noti 132 za elf 10 pamoja na noti nyingine chache, flash, na kitambulisho...
wanaangalia na aina ya mtu mkuu.Kuna siku utapewa kesi ya mauaji au ubakaji ndio utajua hujui,huyo mtu angekuwa kauawa sasa hivi ungekuwa segerea,usirudie ujinga huo
Hamisi Hamisi Hamisi nimekuita mara tatuKwa hyo milioni 1 na laki 3 ukazirudisha kwa mwenyewe.
Mimi NI muislam lakini hapo kwenye hela pangekuwa mtihani.
Ulimpa na namba?Kuna watu wema duniani bado wapo. Nakumbuka September nilienda Arusha, jioni nikaenda kwenye restaurant moja nikala nikaondoka...
Watunishi wa umma kibao ni matapeli tu,sabaya hakuwa mtumishi wa umma,?maaskari wangapi wanakesi za mauaji kisa mapenzi na kulipa kisasi,uuaji na ubakaji havina cha utumishi wa ummawanaangalia na aina ya mtu mkuu.
Mimi mtumishi wa umma, ninapokea mshahara wangu, nina biashara yangu nimeajiri mtu, n.k siwezi kuwa suspected kirahisi namna hio kwamba nianze kukaba watu ?
Ingekuwa sina ajira, sina shughuli maalum, n.k nisingejisumbua huko kote maana naijua vizuri hii system
[emoji3][emoji16][emoji16][emoji16]daahh!ungemsolola au siyooo!!!Kwa hyo milioni 1 na laki 3 ukazirudisha kwa mwenyewe.
Mimi NI muislam lakini hapo kwenye hela pangekuwa mtihani.
Aseeh!yaani hao hawana utu hata kidogo!√√•Wema ni akiba, hongera sana kwa moyo huo aice. Mimi nakumbuka mwaka 2014 niliibiwa begi stand ya nyegez na ndani likiwa na vyet vyote kuanzia darasa LA 7 had shahada(llb) nilitafta zaid ya miez 6 bila kupata ikabid nianze process za kutangaza kwenye gazet ndo niende baraza ili nipate vingne...
Baada ya kumrudishia hiyo wallet alikuelezea mazingira ya hizo wallet kupotea?Leo hii wakati nimeamka kufanya mazoezi asubuhi, nilikikuta kipochi cha mkononi (hand bag) kwenye njia ambayo huwa nafanya jogging, Nilichunguza mazingira vizuri na nikakifungua, nilikuta noti 132 za elf 10 pamoja na noti nyingine chache, flash, na kitambulisho...
Sensible!!Technology imesaidia wewe kumpata sio wewe kuiwahi kabla ya teja
#reymage..ilibidi niludi mwanza nikawaambia waje bar moja IPO buzuruga waje na hivyo vyeti niwape hiyo pesa, walikuwa bint mmoja na msera mmoja nikawaambia waagize vinywaji, wakaagiza bas wakanipa hiyo bahasha nikakagua nikakuta vyeti vyote vimo, basi yule askar alivaa kiraia akawaambia wao ndo watakuwa na begi pia LA nguo aiceee waliondoka bila kumalizia vinywaj ikabid nimwambie aachane nao tu yamkin nmepata vyet bas nguo ntatafta zingne. Wala pesa sikuwapa
Watu mnaona mbaaali saaanaUmejenga msingi mzuri wa kuwaliza watu jf pindi utakapokuja na biashara ya tuma nikutumie mzigo.
Wengi watakusema lakini Hilo ni angalizo la Karne. Skysoldier usirudie hicho kitendo.Kuna siku utapewa kesi ya mauaji au ubakaji ndio utajua hujui,huyo mtu angekuwa kauawa sasa hivi ungekuwa segerea,usirudie ujinga huo
Yaani walikosa utu kabisaa...walishindwa kufanya wema kabisaa mpk kwa malipo!daahh!bora uliwakomesha hvyo maana walileta tamaa#reymage..ilibidi niludi mwanza nikawaambia waje bar moja IPO buzuruga waje na hivyo vyeti niwape hiyo pesa, walikuwa bint mmoja na msera mmoja nikawaambia waagize vinywaji, wakaagiza bas wakanipa hiyo bahasha nikakagua nikakuta vyeti vyote vimo, basi yule askar alivaa kiraia akawaambia wao ndo watakuwa na begi pia LA nguo aiceee waliondoka bila kumalizia vinywaj ikabid nimwambie aachane nao tu yamkin nmepata vyet bas nguo ntatafta zingne. Wala pesa sikuwapa
Penye dhamiri nzuri Mungu anasimama.Wengi watakusema lakini Hilo ni angalizo la Karne. Skysoldier usirudie hicho kitendo.
Ni kweli mkuu ila kumbuka siku hizi walimwengu sio kabisa. Anaweza kukugeuka na hawa mahakimu wetu wakafuata maelekezo ukaozea jela. Tahadhari ni muhimu.