Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 16,908
- 19,123
juzi nikiwa hospitali ameletwa dada mmoja ameuwawa tena kwa kuchomwa na bisibisi akatupwa kwenye manyasi.Kuna siku utapewa kesi ya mauaji au ubakaji ndio utajua hujui,huyo mtu angekuwa kauawa sasa hivi ungekuwa segerea,usirudie ujinga huo
Mpaka ukweli ujulikane ushaumia sana
Sasa okota vitu vyake huyo uonejuzi nikiwa hospitali ameletwa dada mmoja ameuwawa tena kwa kuchomwa na bisibisi akatupwa kwenye manyasi.
Kuna shemeji yangu aliokota simu 2013 amekaa nayo asubiri atakayepiga smu ampe maelekezo jinsi ya kuipata!! Ilikua asubuhi kufika saa kumi jioni ikapigwa simu akatoa maelekezo waende ofisini kwake smu aliokota asubuhi wkt anaenda kazini!!mwaka 2017.Ni kweli mkuu ila kumbuka siku hizi walimwengu sio kabisa. Anaweza kukugeuka na hawa mahakimu wetu wakafuata maelekezo ukaozea jela. Tahadhari ni muhimu.
Angeziacha mwenye uhitaji akaokota.
Hebu tuangalie, ni kibaka gani atakayepora mkoba wenye fedha na mazagazaga mengine, kisha amtafute mwenye na kumrudishia ukiwa intact?wanaangalia na aina ya mtu mkuu.
Mimi mtumishi wa umma, ninapokea mshahara wangu...
...tapeli vipi wakati amerejesha alichokiokota tena kikiwa salama?Watunishi wa umma kibao ni matapeli tu,sabaya hakuwa mtumishi wa umma,?maaskari wangapi wanakesi za mauaji kisa mapenzi na kulipa kisasi,uuaji na ubakaji havina cha utumishi wa umma
Mazingira ya mauaji, ujambazi ama uvunjaji yanaeleweka.Kuna siku utapewa kesi ya mauaji au ubakaji ndio utajua hujui,huyo mtu angekuwa kauawa sasa hivi ungekuwa segerea,usirudie ujinga huo
Apeleke polisi au atafute njia avirudishe kisiri bila kuacha alama,niamini ndugu kuna watu wanasota magerezani kwa kutenda wemaMazingira ya mauaji, ujambazi ama uvunjaji yanaeleweka.
Shaka na imani potofu zisituzuie kutenda mema kwa wengine...
Alistahili kupata namba zako za simu!
Kwa ajili ya nini, labda?Alistahili kupata namba zako za simu!
kukuuliza kama umefika idyodyoma salama na pia anaweza kuwa mume bora maana bado ulikuwa kwenu nyumbani
Ni vyema na haki ukavirejesha kama ulivyoviokota. Mwenyezi Mungu atakubariki sana.Mimi nitakurudidishia vitu vyako tena bila kujuana kati yetu ila pesa utanisamehe kwa sababu zinatafutwa kwa urahisi kuliko vitu.
Halafu ingeniongezea nini labda hiyo ya kuuliza kufika? Na pia walioolewa hawaendi kwao??? Eeish hebu nikuachekukuuliza kama umefika idyodyoma salama na pia anaweza kuwa mume bora maana bado ulikuwa kwenu nyumbani
Vipi kuhusu kula tunda kimasihara mmefikia wapi?Leo hii wakati nimeamka kufanya mazoezi asubuhi, nilikikuta kipochi cha mkononi (hand bag) kwenye njia ambayo huwa nafanya jogging, Nilichunguza mazingira vizuri na nikakifungua, nilikuta noti 132 za elf 10 pamoja na noti nyingine chache, flash, na kitambulisho...