Nguvu ya mitandao: Nimeokota handbag yenye pesa kabla vibaka hawajaiwahi na kumrudishia aliyeidondosha kupitia Instagram

Mungu na azidi kukutendea.
 

 
Alikuwa wa jinsia gani na wewe ni wa jinsia gani? Isije ikawa kulikuwa na mvuto wa positive and negative charges.
 
Maaskari wapepelezi wabongo wavivu sana kufatilia kesi yaani wanakubabatiza mradi umekamatwa na kidhibiti!ukiangalia IDX ndo utajua wazungu wako makini kiasi gani

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
ni vyema hizi story za jamii forum mwisho wa mwaka zipate tuzo, unahitaji tuzo ya uaminifu, hongera sana, baraka za umwaminiye ziwe na wewe siku zote!
Yes Ni vizuri kuwatia moyo watu wanaofanya Jambo jema katika jamii ikawe chachu na kwa wengine,huwezi amini hii story ya huyu jamaa anaweza kubadilisha maelfu ya watu kitabia
 

Bwana mzehe,, hongera ssana,,, wachache kama wewe,,, acha wakuite mjinga,,, lakini wewe co mjinga,,,,
 
Umejenga msingi mzuri wa kuwaliza watu jf pindi utakapokuja na biashara ya tuma nikutumie mzigo.

Mkuu Kama una roho mbaya siyo watu wote wapo hivyo

Kuna watu wema kibao

Jana nimemuhudumia mteja wa online huko hata simfahamu nikapiga hesabu ikapungua laki Moja Yule mteja nikamtumia mzigo wake na akapokea akalipa baada ya nusu saa akanipigia akaniambia tu nimekosea hesabu
Nakurushia kiasi kilichobakia.


Nadhani ingekuwa ni wewe wala usingerudisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…