Nguvu ya Punyeto na kujichua katika Ulimwengu wa Roho

Umeongea Vizuri Sana, mtu ambaye haamini Ni sawa na ambaye hajasikia tu. Na swala na Imani linaweza kua kweli au si kweli ,mtu kuamini haihalalishi kua ndio Ukweli utabaki kua Ukweli kwake tu.
 
Nimeshtuka Sana baada ya kusoma huu Uzi Hakika nimejifunza Jambo leo naweza sema Ni kubwa Sana maishani mwangu.Kumbe nyeto ndo chanzo Cha umaskini kushindwa kusonga mbele mikakati ya kimaisha kufeli plan zangu kufeli hapa Kuna ukweli Sana Kama mtoa mada alivyoelezea Hakika najuta kuchelewa kufaham huu ukweli Nyenyere mungu akubariki sana brother leo umejifunza Jambo kubwa Sana



CHANGAMOTO


Kama mm nisie na demu hapa nawezaje kushinda hii roho ya tamaa maana Kuna mda mwili unatamani Sana kama kutamani Natamani Sana hasa Kuna type za wanawake same time nahisi hadi moyo umeshtuka maana unakuwa umemtamani ile mbaya Sasa hapa afsa tunafanyaje kuweza kuovercome hizi obstacles katika maisha yetu ya Kila siku maana nyege mbaya sana
 
Mwendelezo wa huu mkasa wako unitag mkuu@Nyenyere
 
Dondosha madini brother big up
 

Inategemea Mkuu mafanikio ya kimaisha hayapo constant sana, kuna wanao jichua na wamefanikiwa

Kwa mfano bondia Tyson furry aliwahi kuhojiwa akasema yeye kabla ya pambano lake kuanza lazima ajichue ndiyo aingie kwenye pambano

Sasa kimafanikio ya maisha? Hajafanikiwa?
 
Vipi kwa wanawake wanaijichua?
 
Hili ni suala pana sana na linalogusa wengi. Ili kuwasaidia vijana mkuu Nyenyere ukipata muda jaribu kufafanua zaidi. Mfano:

Kijana rijali ambaye hajaoa afanyeje? Azini? Apige nyeto? Kuzini na nyeto ni kipi kina unafuu kiroho (kama upo?). Najua hali tengamanifu ni kujizuia mpaka mtu aoe lakini katika uhalisia wake na mazingira haya ya kisasa, ni kijana gani rijali anaweza kufanya hivyo?

Ukija kuleta mada ya kuacha nyeto angalia pia na suala hili. Yawezekana kweli kijana rijali kukaa tu miaka na miaka bila ngono eti akisubiri mpaka aoe? Kama haiwezekani, kijana huyu afanye nini kama hawezi kuzini na kupiga nyeto?

#Uwazinaukweli
 
Swali zuri.
 
Hapo nimekuelewa mkuu
 
Mkuu yani uwe rijali huna demu alaf usipige nyeto? Hapo huwez ukawa mzima ase vile vichocheo ni vibaya sana usipo vipunguza kwa nyeto unaweza ukabaka hata dada yako..
Mm napiga nyeto mara 1 1 ili niwe normal
Imani za kisasa, kutokuweza kuuiliki mwili na kuruhusu kuongozwa na tamaa ni chanzo.

Inabidi niandike mpango ambao mwanadamu alipaswa kuishi akiufuata ili tuende pamoja.
 
Ndio shida ya kubwa ya Imani Ipo hapa , Yan Ukiwa na Imani na Jambo lako Basi wote wasiokua pamoja nawe hawaishi. Huyo spiritual Yuko na sura gani? Sio kusikia
Hapana mkuu, mimi sisikii, naona!! That's the difference
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…